Wewe umemshauri nini? Kingine kumpenda mtoto sana' na yeye akajua kwamba unampenda matokeo yake ndo hayo!!
Avae sura ya Mbuzi' amtupe ndani hata miezi miwili' then akirudi amkanye na ampe shughuli yakumpatia miambilimiambili itampunguzia tamaa na ataweza kupata anachokitamani bila kuiba..
Kingine yawezekana wewe ndo linakuuma hilo kumbe mjombaako anachukua na haibi kama wewe ulivyochukulia' akijua hii pesa ya mama! Na mamayake anachukulia poa ingawa' anataka kuwaonyesha kwamba anaumia kumbe hayo maumivu hayapo moyoni! So liangalie hilo pia'
mkuu kama kuuma inamuuma sana dada.hadi sasa bado tu anahuzunika.anatamani hata huyo mtoto afe..
Anatamani afe kwaajili ya laki moja? Au milioni na laki 1? Mwambie asikufuru' amtengenezee mazingira ya yeye kujipatia miambilimiambili!! Maana itakuwa alimzowesha kumpatia' then akakata ghafla.
Poleni.
Haiwezi kuwa imeanza ghafla hivyo,malezi ya kijana yalikuwaje?
At 19 kijana anakuwa na mahitaji ya kiasi fulani cha pesa,anakipataje ni kwa family kuamua ila kama hasomi wala hana ajira anaweza kutafutiwa kamradi akakuze mwenyewe.
Umemtaja sana dada yako ambaye ni mama wa mtoto,baba wa mtoto yuko wapi?
Anafanya nini kukpomesha hili?
Udongo upate ungali maji..........
Mkuu dini sio sababu, unaweza lelewa maadili ya dini au naweza sema unatokea kwenye familia yenye maadili ya dini lakini utakapokua kiumri unapoteza mwelekeo au unakiuka miiko ya familiakuhusu malezi kalelewa vizuri sana kwan baba na mama yake wameshika dini sana.
Mkuu dini sio sababu, unaweza lelewa maadili ya dini au naweza sema unatokea kwenye familia yenye maadili ya dini lakini utakapokua kiumri unapoteza mwelekeo au unakiuka miiko ya familia
Mpe pole dada yako na kwa pamoja poleni sana.
Nina wasi wasi mbali na starehe za wachumba isijekuwa ameanza kula sembe, mfuatilieni nyendo zake kwa ukaribu.
Afanye starehe zote lakini sembe, zidini Ombeni Mungu asifike huko
hata mimi sijui ana tatizo gan.kama ni bangi havuti.sembe hatumii.mademu wala hana kabisa.namjua vizur sana..
kuhusu malezi kalelewa vizuri sana kwan baba na mama yake wameshika dini sana.
Huyo nawashauri muacheni tu kama alivyo akutane na wababe huko wamle tigo ndo atakoma
Inawezekana makundi na ujana vinamsumbua,mtafutieni Counselor aongee naye.
Msiache kumuombea pia,kwa rehma za Mungu atabadilika tu awe mtoto mwema.
Poleni.