ni kweli,...Historia yaweza kujena msing bora wamapenz au kubomoa si ndio?
Nakubaliana nawe 100%..Mawazo ya kijinga haya yaliopitwa na wakati.
Hizi ni tamthilia za kusadikika, Mwanaume aliyevunja bikra ya mwanamke ni yule anayemeet requirements za mwanamke za kimwili na kidunia. Nyingine ni porojo tu
Sioni umuhimu wa kujua kuhusu alienivunja bikra.........
I loved before.....I may Love again........ what matters ni
niko na wewe sasa......mengine ukiyajua utazidi kuumia sana
Kwani ulifanya ya kuumiza??
kweli eeh!!?Jeh..?Aliekuvunja bkra akiomba kamchezo utampa??
Ongezea na haya
1.wakati hamjaonana alikuwa na wanaume wangapi au wanawake wangapi?
2.je pindi yupo na wanaume au wanawake wale ni nani alikuwa anampenda sana na kwa nini alimpenda sana
kumhoji mpenzi wako kipindi cha aelezee ni kuleta pressure akikwambia fulani alikuwa na dudu kubwa nilikuwa nafurahia wakati wewe una dudu ndogo unakata tamaa au anakwambia hujui mapenzi fulani alikuwa anajua wewe umebakiza maigizo ya kulialia tu wakati wa majambozi na hujui mambo
Yapo ya muhimu napaswa kuelezwa(sio kuuliza) kama ana watoto,alioa akatengana na mkewe kwa sababu zozote zile,sio nilikuwa na Asha then Janeth kisha Rose! Sitampa nafasi hata ya kumalizia story yake maana hiyo ni past yake mradi haina impact kwa mahusiano yetu ya sasa wala hainishughulishi!
Nitamtimuaaa!! Na anajua sisikilizagi ujinga mie!hahaha napatia pozi kaka angu ndio anaanza kukuelezea hako kahistoria....ka asha..Janeth Rose....
na sasa ni wewe kama nakuona utakavyomkaatisha LOL
Tuache utani. Jibu ni YESSSSSSSSkweli eeh!!?Jeh..?Aliekuvunja bkra akiomba kamchezo utampa??
Nitamtimuaaa!! Na anajua sisikilizagi ujinga mie!
Atakutafuta akusimulie tu lol
Tuache utani. Jibu ni YESSSSSSSS
Tupe sababu za hiyo yes na no^^
Sometimes Yes Sometimes No
^^
Haha ha haaaaaaa!!HAHAAAA nimechekaje halafu we ndio unakuwa umeuliza hapo.....
halafu sa hivi nataka nianze kukwita Wii.......
I never mind ni Me. Ila kumbuka sijaanza nipo Bikra na umri wa miaka 22 mwaka 2014 nafika 23 ndipo nategemea kuanza.If you dont mind we ni ME/KE!!!!!!!