Unauliza imekaaje? Imekaa kizushijamaa kazama zake hotelini kugonga msosi.
kufika pale kakuta ile inayoitwa "menu" iko juu ya meza.
basi jamaa akaichukua hiyo "menu" akaiweka kwenye kiti chake akaikalia.
mi nikabaki nashangaa tu.
sijui wadau mwainaje hii?
sasa wewe si ulikuwepo hapo si ungemuuliza au umuulize aisee..!!!!jamaa kazama zake hotelini kugonga msosi.
kufika pale kakuta ile inayoitwa "menu" iko juu ya meza.
basi jamaa akaichukua hiyo "menu" akaiweka kwenye kiti chake akaikalia.
mi nikabaki nashangaa tu.
sijui wadau mwainaje hii?
Kiti kilikuwa kimelowa
Baada ya hapo kukatokea nini?jamaa kazama zake hotelini kugonga msosi.