Imekaa Vibaya

huu wimbo umenikumbusha mambo ya longi
 
Hebu ngoja nirefresh mind kidogo na kitu cha Kali P
 
Huu jamaa sijui alipotelea wapi!Miaka ya 2000 ilikuwa na bongo fleva njema kweli!Nikikumbuka Daz Nunda,"Maji ya Shingo"Kamanda"Barua"Nipe Tano"Jahazi"Hawa jamaa sijui wamepotelea wapi kama ilivyokuwa TMK nao wamepotea kabisa!
 
Ile orodha vipi ya 'njagu'...! Iloyokanushwa....! kuna kitu kinaitwa DAY WAKA...!, WAGUZI, WALIMU,...(TWO PROUD, WAGOSi wa Kaya na wengineo....)
 
Kali P kama kaka yake Makonda vile..sura na hata kutamka kwao vinaendana
 
Yan kitasa kimoja nkashangaa nyama yote IPO sakafuni naona Giza aisee Kali popote aliimba
 
Siku unapgwa huu wimbo nilidokoa nyama ya wageni wa Dada wakati anachumbiwa. Aisee ilikaa vibaya sana. Nilpewa vitasa hatareee
Hakuna rangi uliacha kuona siku hiyo!
 
si makonda huyu au nani ngoja nipikiche macho vizuri
 
Huu jamaa sijui alipotelea wapi!Miaka ya 2000 ilikuwa na bongo fleva njema kweli!Nikikumbuka Daz Nunda,"Maji ya Shingo"Kamanda"Barua"Nipe Tano"Jahazi"Hawa jamaa sijui wamepotelea wapi kama ilivyokuwa TMK nao wamepotea kabisa!
Amekuwa Ustadh siku hizi hata mziki hataki kuusikia
 
Nakumbuka nilikuwa chumba cha mtihani, nafanya final exam ila paper ilikuja ngumu kila swali silielewi mara ghafla nasikia mziki nje unaimba," imekaa vibaya hii bado haijatulia imekaa vibaya". Nilijikuta nasema kwa sauti, sijui nirudi kijijini. Hahahaa msimamizi alinitolea macho, darasa zima wapo hoi wanacheka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Comment inachekesha ila nashindwa kucheka kisa we ni kada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…