Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 43,037
- 34,741
kwani mazishi ya jamaa ni lini maana najua kwa sasa yuko mortuary
Da mi nitataka kwanza nione ameniwekea zawadi gani kabla sijampa yangu!!
Humu tunafurahi tu.Huu siyo mtihani wala nini !Mambo ya fasihi hayo. Ufikiliavyo sivyo ilivyo maanishwa. Hiyo ni lugha ya picha iliyotumika kuielezea tofauti ya mwanamke na mwanamme.
Nawapenda wanawake ila nawaogopa
Liseme tuKunajambo hapo c bure