Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Mmmh jamani
Kweli imejipost yenyewe
imejipost??? Vipi unaogopa kichapo chao?
Inataka kuelekea kwenye automatic lakini naona kama inakuwa ngumu mkuu,au unaionajeUnataka kusema iko automated...???
mbwai ivi mosie!!!?? dadavua kidogo hapa jamani mie kilaza
mbwai ivi mosie!!!?? dadavua kidogo hapa jamani mie kilaza
pendael neno WANAWAKE AKILI HAWANA halijakaa vizuri sana! Tusifanye inclusion hatutawatendea haki , binafsi tatizo huwa naliona kwetu sisi wanaume na asikudanganye mtu wanawake wana 'kifua'kweli wanawake akili hawana! kwa hio hapo anawazia kumuua huyo alafu bado moyoni ana mapenzi,anaenda kumpenda mtu mwingine.ni shida sana
pendael neno WANAWAKE AKILI HAWANA halijakaa vizuri sana! Tusifanye inclusion hatutawatendea haki , binafsi tatizo huwa naliona kwetu sisi wanaume na asikudanganye mtu wanawake wana 'kifua'