Imefikia wapi Kesi ya yule tajiri aliyetaka kutekwa akajihami kwa risasi?

Ushirombo

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
3,557
2,692
Wakuu kuna ile habari miezi mitatu hivi imepita,yule tajiri wa kati ya Musoma au Mwanza sikumbuki ila alitaka kutekwa alikua filling station,lakin akawawahi watu wasiojulikana akawalamba shaba,kukawa na kesi,je kesi yake iko vp?
Nawasilisha
Ni mimi
Ushirombo-Sr Jf member
Since Jan 2012
 
Nani alikwambia alitaka kutekwa? Unaweza eleza?
 
"Upelelezi haujakamilika waliomba tarehe zingine kwa ajili ya kesi kutajwa" kwa kifupi hio sentensi ni kandamizi ukisikia kesi yako wanasema sentensi hio hesabu maumivu ya kukaa ndani miaka mingi sana
Yuko ndani na mke wake naye yuko gereza la butimba mwanza
 
Back
Top Bottom