Mutwale
Member
- Oct 20, 2010
- 67
- 19
Wanajanvi mtakumbuka wakati wa kampeni za mwaka 2010 na baada bwana wakati akikihutubia taifa alitangaza kuwepo kwa udini. Ijapokuwa hakuta ni akina nani wanaeneza udini, lakini wapambe wake alisema na kutamka wazi wazi kwamba CDM walikuwa na siasa za udini!
Lililojitokeza Zanzibar, ambapo wanauamusho ambao ni wana CCM na ndugu Zao wamechoma nyumba za ibada/makanisa kwa sababu ambazo hazijulikani! Sasa imeonyesha wazi ni akina nani wabaguzi na ni akina nani wadini!
Haya yaliyotokea Zanzubar ni sawa na ule usemao kuti la mazoea umwangusha mgema au Mchelea mwana kulia ulia mwenyewe!