Imebaki miaka kama 553 Dunia ifike mwisho

Imebaki miaka kama 553 Dunia ifike mwisho

Mfupawasokwe

Member
Joined
Sep 12, 2024
Posts
78
Reaction score
129
Nimewaza tu mpaka kufika mwaka 2578 dunia utakuwa imefika ukingoni, Kuna vitu naona vya ajabuajabu vinaendelea sasa hivi duniani mpaka unajiuliza mpaka kufika miaka hiyo hali sijui itakuwaje.
 
Nimewaza tu mpaka kufika mwaka 2578 dunia utakuwa imefika ukingoni, Kuna vitu naona vya ajabuajabu vinaendelea sasa hivi duniani mpaka unajiuliza mpaka kufika miaka hiyo hali sijui itakuwaje.
Kibwetele Wa Uganda Mwaka 2000 ,December Alisema Ndiyo Mwisho Akawachoma Waumini Ila Dunia Inasonga Taratibu
 
Jua wanasema limebakiza miaka nusu billion ili lipotee...! Jua ndiyo kiini muhimu katika Uwepo wa uhai wa Dunia.bHiyo yako umeipata wapi!
 
Jua wanasema limebakiza miaka nusu billion ili lipotee...! Jua ndiyo kiini muhimu katika Uwepo wa uhai wa Dunia.bHiyo yako umeipata wapi!
😀😀😀 huyu hana tofauti na yule jamaa ambaye alikua anasema mwaka Jana mwezi wa Tano Dar itafunikwa na bahari ya Hindi na watu wakawa wanaogopa kabisa ukimuliza alete ushahidi wa kisayansi anakwambia ameoteshwa na roho mtakafifu
 
Labda useme binadamu hatakuwepo au atakuwa muunganiko wa tech na binadamu ila dunia itakuwa ipo sema itakuwa ukimya sana huku Kila binadamu akijitahidi kuishi pekee kwa ukimya mkubwa
 
Vitu gani vya ajabu vinavyoendelea?
Hivyo vitu vinatokana na nini?
 
ngoja nianze kesho kutembea mdogo mdogo, najua nitafika tu mwisho wa dunia na kutoka nje
Itakuwa venture ya kubwa sana dunia itakukumbuka pale utakapopotelea pale cape of good hope
 
Itakuwa venture ya kubwa sana dunia itakukumbuka pale utakapopotelea pale cape of good hope
siku watoto wa watoto wetu wa watoto wetu wa watoto wetu wa watoto wetu wa watoto wetu.....waje waone mifupa waseme binadamu wa kwanza alovuka dunia kwa miguu.
 
Back
Top Bottom