Imebaki miaka kama 553 Dunia ifike mwisho

Imebaki miaka kama 553 Dunia ifike mwisho

siku watoto wa watoto wetu wa watoto wetu wa watoto wetu wa watoto wetu wa watoto wetu.....waje waone mifupa waseme binadamu wa kwanza alovuka dunia kwa miguu.
kama movie vile wataokota mifupa na kuikagua huku wakioneshana na kujaribu kuwaza ni mtu au mnyama flani
 
kama movie vile wataokota mifupa na kuikagua huku wakioneshana na kujaribu kuwaza ni mtu au mnyama flani
Kama naiona Tanzania inavopokea sifa nzuri za kihistoria kupitia mimi,,aseeee makofi kwangu kabla sijaanza na kupotea huko
 
Miaka 553 ni mingi dunia kama dunia itakuwa haipo,itakuwa imekunjwa kama karatasi na kutupwa motoni,kutakuwepo na mji wa Jerusalem mpya ambao utashuka kutoka mbinguni na ni wachache watakaokuwepo kwenye mji huo.
 
Kama naiona Tanzania inavopokea sifa nzuri za kihistoria kupitia mimi,,aseeee makofi kwangu kabla sijaanza na kupotea huko
Yah na itatumika kwenye kampeni mwaka huo!!
 
Sasa si ungevitaja hivo vitu bila kuvitaja bandiko lako kina maana gani sasa si NI kama takataka
Vipo vingi sana nitakutajia baadhi tu,
1.Wanawake kupiga sana picha za utupu kwenye mitandao ya kijamii hasa TikTok na Instagram.
2.Ndoa kuvunjikavunjika hovyo bila sababu za msingi.
3. Mavazi ya hovyohovyo wanawake na wanaume.
4.Mauwaji yaliokithiri na vita vya ajabuajabu.
5.Watu kupenda sana madaraka kupitiliza, wapo tayari kufanya lolote kwa sababu ya madaraka.
 
Nimewaza tu mpaka kufika mwaka 2578 dunia utakuwa imefika ukingoni, Kuna vitu naona vya ajabuajabu vinaendelea sasa hivi duniani mpaka unajiuliza mpaka kufika miaka hiyo hali sijui itakuwaje.
Vitu vya ajabu ndio vilifanya dunia iwepo na ndivyo vitakavyofanya dunia iwepo kwa karne nyingi zijazo.
 
Back
Top Bottom