Kwa hiyo wewe usipokiamini kitu maana yake hakipo? Shule ulienda kusomea ujinga?Katika akili yangu sijawahi kuamini uwepo wa uchawi
Lakini kila nikijaribu kukumbuka baadhi ya matukio mbali mbali ambayo nimewahi kushuudia na kuona katika maisha yangu kunanifanya niwe na maswali mengi juu ya imani hi...
Uchawi upo,Uchawi haupo na haujawai kuwepo.
Ila Imani juu ya uchawi zipo kwenye akili zetu binadamu wengi