Wingu la huzuni limetanda kwa waislamu baada ya kifo cha mpendwa wao
Mhadhiri maarufu wa kiislamu IMANI PETRO kilichotokea Jana usiku.
Mazishi yatafanyika leo, taratibu zinapangwa nyumbani kwake Tabata.
Kwa hakika sisi sote ni wa Mwenyezi Mungu na kwa hakika Kwake tutarejea. Tujiandae kwa safari. Mwenyezi Mungu Amsamehe ndugu Imani Petro, Amrehemu na Amthibitishe kwa kauli thaabit. Aameen.