Imani kitu kikubwa sana asee | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Imani kitu kikubwa sana asee

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mbimbinho, May 18, 2012.

 1. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,866
  Trophy Points: 280
  Jamaa alinunua friji jipya, akawaza namna ya kuondokana na lile la zamani basi hatimae akaliweka nje ya nyumba yake na kuandika kibao ANAE TAKA KUCHUKUA ACHUKUE BURE. Watu wakawa wanapita wanafungua lakini kila mtu akawa anaogopa kuchukua maana hakuna aliyeamini mtu anaweza akagawa friji zima bure. Baada ya kuona wiki imepita halijachukuliwa, akaandika FRIJI INAUZWA LAKI 3, usiku uleule likaibiwa.​
   
 2. N

  Nyuki baby Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Teeh! teeh! Kwahiyo walijua bovu!!
   
 3. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Searching...100%
  Loading...100%
  Network Connected !
   
 4. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,866
  Trophy Points: 280
  Mkuu seems my jokes huwa zinakubamba, maana wewe kuload hadi 100% huwa kunakuwa na kazi ya ziada:israel:
   
 5. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Umetisha mkuu !

   
 6. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #6
  May 19, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Ahahaha!
   
 7. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #7
  May 20, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 4,092
  Likes Received: 1,713
  Trophy Points: 280
  Umetisha mkuu!
   
Loading...