Hivi ni kweli wamekuwa hawapendwi, wananyanyapaliwa, wananyanyaswa, wanatengwa duniani kote? Ama ni asili tu ya imani wanayoiamini?!! Kwani mahali pote duniani penye migogoro watu hawa wapo, kulikoni?!!!. Binafsi naamini peponi watakuwepo wale tu wenye sifa miongoni mwa hizi: wapenda AMANI,wasiokuwa na MAKUU, wenye kukubali KUDHALAULIWA nk. kinyume na hapo ni uongo tu. Mf. mzuri ni mambo yanayojiri hivi sasa nchini Misri, UMMA ulimwamini Bw.Mohammed Mursi wa Islamicbrotherhood ukitegemea mambo mazuri toka kwake hasa ya kimaendeleo, lakini ikawa kinyume chake badala yake akajikita KIIMANI zaidi kwa kupuuza mamlaka za kisheria ikiwemo mahakama nk. Umma uliomwingiza madarakani ukamtaka aachie madaraka kwa amani, hataki. Jeshi likaingilia kati kwa mstakabali mwema wa nchi yao, ghafla watu wa imani wakaingilia kati wakiapa kuwa tayari kufa kwa islamicbrotherhood na kweli hivi sasa wanaua na kuuwawa wakitegemea kwenda peponi!!! hivi ni kweli???? kuua si dhambi kwao? Hapa napo wameanza kwa tindikali tutakwisha basi.