Imamu na maamuma

Imamu na maamuma

Globu

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
9,324
Reaction score
2,900
Siku moja Imamu kawaambia watu msikitini. Anaeteswa na mkewe kati yenu asimame. Wote wakasimama, isipokuwa mmoja tu kabaki amekaa. IMAMU akamwambia MAASHALLAH Wewe huteswi na mkeo, Yule mtu akajibu 'KANIVUNJA MIGUU SIWEZI HATA KUSIMAMA'.
 
khaaaaa! Mbona kila kona balaa huku wake wamegeuka makomandoo wanavunja mpaka miguu!
 
hahahaha sasa imamu alikuwa anataka awaombee?naithi wani
 
Back
Top Bottom