Imamu Kortini Kwa Uchochezi

Imamu Kortini Kwa Uchochezi

Status
Not open for further replies.
Nililoelewa polisi wakiwa wanamtafuta mhalifu huwa wanatangaza kwenye vyombo vya habari uhalifu wake na jinsi wanavyomtafuta? Na huyo sheikh Ilunga hawakujua yuko India? Mbona Mbowe alipokosa mahakamani Arusha alifuatwa Dar na kuletwa na ndege mara moja?


Dar = India ? Wanapjiita wasomi hawa.
 
Nimekuwa Bukoba mjini nmekuta duka moja la kuuza cd linaweka hizo cd za uchochezi na watu wamejaa hadi barabarani wasikiliza na kuangalia bila serikali kumchulia hatua,hawawezi kusema hawaliona hilo maana nishehemu ya wazi sana,kama unaelekea uswahilini pametizamana na Maua guest house karibu na msikiti.Hii yote ni uzembe wa watendaji,kwahiyo na BK wanasubiri mauaji ndio waanze kutangaza kuwakamata?
kama watu wengi wanasikiliza kumbe ni nzuri.sijawahi kuzisikia itabidi leo nikazitafute zilipo nizinunue kabla hazijawa bidhaa adimu.
 
Nimekuwa Bukoba mjini nmekuta duka moja la kuuza cd linaweka hizo cd za uchochezi na watu wamejaa hadi barabarani wasikiliza na kuangalia bila serikali kumchulia hatua,hawawezi kusema hawaliona hilo maana nishehemu ya wazi sana,kama unaelekea uswahilini pametizamana na Maua guest house karibu na msikiti.Hii yote ni uzembe wa watendaji,kwahiyo na BK wanasubiri mauaji ndio waanze kutangaza kuwakamata?

USIWE NA WASIWASI MTUMIE KAMANDA KOVA EMAIL NA UMWAMBIE KILA KITU SASA HIVI JESHI LA POLISI LINAKOMESHA UCHOCHEZI WA AINA YOYOTE ILE

EMAIL YAKE HII HAPA

kova.suleiman@yahoo.com.
 

unajua nini maana ya kusoma? wewe umesoma mpaka wapi?, je elimu uliyosoma imekusaidia nini? weka CV yako tuone, kisha ndio ushawishi wengine kwenda kusoma mana post zako zenyewe zinaonekana kama zimeandikwa na mmoja wa wale 60% ya watahiniwa wa kidato cha nne 2012.
 
Mjinga wa ukweli ni mtu ambaye hana elimu, hospitali, barabara, makazi, ulinzi, nk. Kazi kuzunguka mitaani na malapa siku nzima kusubiri mapumbavu mijizee yenu iwaambie kawauweni mapadre, maaskofu, na walei na mnakwenda kweli. Nafikiri wote mmepagawa na majini dini tu haiwezi kuwapeleka mbali hivyo katika ujinga. Jiangalieni kabla hamjaleta miguu hapa kukashifu dini za wengine ambao mnatibiwa kwenye mahositali na kusomesha watoto wenu kwenye shule zao. Itafika siku watawatupa nje ya taasisi zao na hamtakuwa na pakwenda. Ninawatadharisha tu. Zingatieni utamaduni wetu wa kuheshimiana na kuheshimu dini za wengine. Sijasikia mkristo akiagiza wakristo wenzake wakawauwe mashehe, mamufti, sijui na makitu gani kwa kujificha au kwa kuonekana. Sijaona mkristu aliyetoka kuchoma msikiti wa waislamu. Siku zinakuja ambazo hata wakristo watachoka na hapatakalika kwani hata wakiwatimua tu kwenye mahoapitali yao tayari mtajikuta kwenye wakati mgumu sana. Jamani waislamu jiheshimuni ni hilo tu.


Tafuta glass ya juisi ushushie, Oooh! Samahani kumbe hutumii juisi unatumia ....... tafuta ushushie, kisha ukapumzike mana unahasira usije kupiga mtu mtandaoni.
 
Hakimu ni Mkristo hawezi kuhukumu kwa kuzingatia sheria! ni lazima atawadhulumu watuhumiwa wa Kiislamu hivyo panahitajika mahakimu 2 Muislamu na Mkiristo ili kuleta balance! Mashehe wote waliokamatwa hawana budi kugoma kuhukumiwa na Mahakimu wakristo pekee!

Hapa tunaangalia uhalali wa sheria na si ukristo na uislam km kweli wamevunja sheria watahukumiwa km wahalifu na si km waislam mbona mnataka kuleta chuki za udini na sababu za kitoto mahakimu wangap waislam wamesha hukumu waumini wa dini nyingne..?? Sasa kila mtu akileta iyo hoja yko tutaishi km Watanzia au km wakristo na waislam..???
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom