Askoff hana tatizo lolote wanataka kumkamata ili ku balance na shehe ilunga,wameona wakimkamata ilunga pekee inaweza amsha hasira za waislaam
Kwanini Mkuu wa Mkoa wa Mwanza hajakamatwa, aliyetoa kauli za uchochezi kuwa wenye haki kikatiba ya kuchinja wanyama ni waiislamu tu?
Huu ni ufinyu wa mawazo.Wewe ndo unaleta mambo ya udini.Hayo aliyosema si sahihi?Hukumu bado haijatolewa, weweunleta mawazo yako ya ajabu hapa.Hakimu ni Mkristo hawezi kuhukumu kwa kuzingatia sheria! ni lazima atawadhulumu watuhumiwa wa Kiislamu hivyo panahitajika mahakimu 2 Muislamu na Mkiristo ili kuleta balance! Mashehe wote waliokamatwa hawana budi kugoma kuhukumiwa na Mahakimu wakristo pekee!
Wazee wa kahawa na bao.Hakimu ni Mkristo hawezi kuhukumu kwa kuzingatia sheria! ni lazima atawadhulumu watuhumiwa wa Kiislamu hivyo panahitajika mahakimu 2 Muislamu na Mkiristo ili kuleta balance! Mashehe wote waliokamatwa hawana budi kugoma kuhukumiwa na Mahakimu wakristo pekee!
Wazee wa nguruwe na vibuduWazee wa kahawa na bao.
Kwa upande wa Mpemba ambaye ni Askofu wa Kanisa la Tanzania Field Evangelism,alisema hajulikani alipo.Aliwaomba raia wema wenye taarifa za askofu huyo, kutoa ushirikiano kwa polisi kueleza alipo.[/QUOTE]
Naona maelekezo ya Sheikh Ilunga yanafanyiwa kazi. Akikamatwa sheikh mmoja tafuta Askofu wa kulipiza kisasi dhidi yake. Vinginevyo hasira za wafuasi wa yule sheikh hazitaweza kutulizwa!!!
Biblia iko wazi kabisa juu ya kuchinja. Labda kama wanataka kuipiga marufuku hapa Tanzania kuwa ni kitabu kinacho chochea chuki dhidi ya waislamu. Nayo itakuwa vigumu maana mawakili watetezi watathibitisha biblia iliandikwa kabla ya uislamu ulionzishwa na Mohammad miaka 700 baada ya Kristo. Biblia inaeleza wazi katikaa nyaraka za Paulo kwa Wakorintho kuwa kama mtu akiwambia nyama hii imetolewa sadaka kwa miungu yake basi usile, asije akadhani yule mtu kuwa umeungana naye kuiabudu. Muda wakristo walipochinjiwa hawakujua kuwa waislamu wanaiita ibada, na sasa wanalazimisha kila mtu aifuate!! Kama wakristo walikuwa wanawaita waislamu kwa hiari wawachinjie, sasa shurti inatoka wapi? Na wasipowaita dhambi ni ipi?huyo padri yupo humu humu nchini, atafutwe apigwe pingu kisha abebwe kwa kibindo, then mchakamchaka mbaka kituo cha polisi akanyee debe!
Hakimu ni Mkristo hawezi kuhukumu kwa kuzingatia sheria! ni lazima atawadhulumu watuhumiwa wa Kiislamu hivyo panahitajika mahakimu 2 Muislamu na Mkiristo ili kuleta balance! Mashehe wote waliokamatwa hawana budi kugoma kuhukumiwa na Mahakimu wakristo pekee!
Wao hudai hupata thawabu kwa alah.