Imamu apigwa msikitini kwa kuihama CUF

Ongeza na chadema siku watakayo simamisha mgombea wa urais wa tz muslam ndio cku ya kufa chama na wajaribu

Kwani 2010 Zanzibar cdm mbona walimsimamisha muislam,
Jiulize ni lini CUF walifanya hivyo
 
Ina maana CUF hawataki mtu mwenye dini ya kiislamu kuwa mwanachama wa CCM?

Kweli hivi vyama vyetu vya siasa vina udini ndani yake, jaji Tendwa kaa macho.

CCM waliwabatiza CUF udini, Cuf wakaushadadia, wakajiingiza kwenye ULIBERALI ili kuukoleza, na motto yao ya HAKI SAWA KWA WOTE ambayo ndio msingi wa dini yetu tukufu ikafanya wana Cuf waone kuwa uislam ni CUF na CUF ni Uislam
 

Imamu Said ni kati ya wanachama 30 wa Chama cha wananchi CUF waliamua kukiama chama cha wananchin CUF na kujiunga na CCM na walipokelewa Rais wa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa CCM DK Ali Mohamed Shein Mey mwaka huu.​
Haikuwa busara kwa Rais Shein kufanya tukio kubwa la kisiasa la kupokea viongozi wa kidini waliohama chama.
 
Zanzbar hakuna siasa kuna chuki zinazotdmbea kwa majina ya vyama

Binafsi
shishangai kwa maeneo ya Pemba hasa wilaya ya Wete na Micheweni suala
hili ni la kawaida mikakati yote ya kisiasa hupangwa misikitini ndo
maana kuna misikiti ya CUF na ya CCM.Si ajabu imamu kutoa mhadhara wa
kisiasa toka mwanzo wa ibada mpaka mwisho.
 
Kumbe zanzibar uanachama ni lazima na siyo utashi wa mtu.
 
Cuf chama cha waliberali,wazee msikitini.
 
Hawa wazenji ni sawa na waarabu tu, Hivi mtagombanaje msikitini? Jaman hata Mungu hawamuogopi hawa watu?
 

na ndio dawa waache wapigane wao kwa wao nao wapate nchi mbili hakuna wanachoongezea pato jamhuri kwani mafuta yao waliyakataa hapo lazma kauli za wazee wa kale itenguliwe
 
Chadema ndicho chama pekee kilichojipanga kitaasisi. Ni vigumu sana kwa sasa kuwaaminisha wapenzi wa Chadema kuwa chama chao kinaitikadi za udini. Waislamu walio Chadema kama mgosi Mohamedi Mtoi na wengineo wengi wako comfortable kabisa

Nawapongeza sana viongozi wa CDM kwa kuwa makini hasa katika suala hili la UDINI
 
Vurugu hizo zimesababishwa na baadhi ya waumini wa msikiti huo ambao wanapinga Imamu Said kuendelea kushika wadhifa huo kutokana na kitendo chake cha kujivua uanachama wa CUF na kujiunga na chama tawala CCM mwaka huu.
 
Mimi huwa nina kawaida ya kutokuingilia masuala ya ndani ya mahusiano maana walipokaa 2010 hatujui walikubaliana nini!
 
Mimi huwa nina kawaida ya kutokuingilia masuala ya ndani ya mahusiano maana walipokaa 2010 hatujui walikubaliana nini!

Kwi! Kwi! Kwi! Kwi! unamaanisha ule mwafaka wa Karume na Maalim Seif ?
 
Inabidi kufanya juu chini kuhakikisha muungano unadumu,maana ukifa watatusumbua sana kuomba hifadhi kama wakimbizi wa kivita!nakushauri tusiwakatie tamaa wariberali hawa!!!
 
Point!
 
Wagombanao ndio wanaonyeshana penzi motomoto....hawa ni wapenzi hakuna shida wanajuana,ni suala la kindoa hapa!!!
 
Kwani ukiwa Si CUF inakuwa umefanya dhambi?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…