Imamu wa msikiti aliyekuwa anashikiliwa kwa tuhuma za ugaidi huko Arusha amefariki baada ya kuugua kwa muda wa miezi sita akitibiwa katika hospitali ya mount Meru akiwa chini ya ulinzi mkali wa polisi.
Source: Gazeti MWANANCHI leo.
wewe hutakufa?au unapenda pepo lakini kufa hutakiSafi sana Mungu mkubwa wacha yafeeee
Mbona tayari yameua na kuteka hovyo watu wengi tu wasio na hatia! Au we hujasikia BOKOHARAM, ALSHABAAB, ALKAIDA n.k?
Mnaumia magaidi sio wananchi! Bila shaka utakuwa mhamiaji haramu na si mzalendo mzawa!