Time Bandit
JF-Expert Member
- May 22, 2013
- 615
- 321
hapa anaishi yule 'Yahaya' wa Lady Jaydee
Labda lengo lake ni kuogopa kuibiwa mkewe na binti zake.....
Hapo ukitandika ulabu sawa sawa inabidi ulale nje.
Huenda usafiri wake binafsi ni helikopta
Baba hapo wageni hupati...haswa wageni wazee au wale wambea wambea...alipelekaje vitanda, kabati, friji, na wakija wageni?
Watu8 si unaona ngazi hapo?...yaani kwenda home lazima utumie hiyo ngazi!
Nimeona mkuu lakini mimi nilikuwa najaribu tu kufikiria usafiri mwingineo anaoweza kumiliki huyo mwenye nyumba.