grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
Raha ya hapo huna hofu ya uwizi maana ikifika usiku unaweza kuiondoa hiyo ngazi kwa kuivuta juu halafu asubuhi unaishusha.
Tatizo sasa kama mmiliki ni mtumiaji wa maji ya ilala na chang'ombe njia panda, unaweza ukapanda wakati umefika katikati unapata kausingizi ka ghafla halafu unaota unaogelea kwenye bwawa kubwa lenye maji ya uvuguvugu kwenye sehemu yenye baridi kali kama Mafinga mwezi juni.