Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,260
nitaacha kufikiria( ku-imagine)kwa sababu ni ujinga!
hapana aise,,,, kwa mimi kama mimi, i wont be ready,,, mama ni mtu wa kuheshimu sana, huwezi kufanya nae kitendo kama hicho
kama waliumbwa Adamu na Hawa pekee, na ndio hao wawili walioanza kuzaa akina Kaini na Abeli,........
Kaini na Abeli walizaa na dada zao, si ndio?
Linazungumzika
wakati mwingine si ujinga kama unavyodhani
Fikiria dunia yote imekufa. Wewe ni mvulana. Kwa bahati isiyo na jina umesalia wewe na mama yako. Una miaka 18 hivi. Mama 36 hivi. Mwaka mzima mmekaa bila kukutana na dalili ya binadamu mwingine. Ndio nyie mmebakia. Mazingira yapo na vyakula na wanyama wapo ila si wote kama awali. Je, mtakaa hivyo hadi lini? Hamtafikiria kuanzisha kizazi chenu? Je, mtajadili hili? Utakuwa tayari kuanzisha kizazi na mzazi wako? Imagine that.
Laana ya Mungu ikushukie na fikra zako mbovu. Hapa ni Home of Great Thinkers. Sio wavutaji bangi.
Raia fulani Umefikiria nini..??!!
Raia fulani Umefikiria nini..??!!
wewe ndio umefikiria zaidi kwamba huyu jamaa kuna kitu anafikiria mimi ninafikiria huyu jamaa kila siku akimwangalia mama yake anatamani asigekuwa mama yake yaani kuna kitu zaidi ya hapo pengine anavutiwa naye au ana mvuto usio wa kawaida.
nasema hivyo kwasababu kuna siku nilikuwa na mama mmoja sio mzazi wangu lakini umri wake ulikuwa umeenda aliki kwa jinsi alivyokuwa anaoneka niliona nilifikiri jinsi alivyokuwa msichana kama alikuwa na umbvo lile basi aliwatesa vijana wengi sana enzi zake na baada ya kufikiri hayo nikajikuta najiuli hivi ninafikiri nini, nilikaa na yule mama kwa siku chache maana tulikuwa tukisafiri na gari ilituharikia njiani unaweza kushangaa kwamba yule mama alikuwa na binti yake wa miaka 20 lakini yule mama aliyeoneka wa makamo kwa jinsi nilivyomuona mimi alikuwa na mvuto kuliko binti yake wa miaka 20. yule mama alikuwa na umbile zuri sana na alikuwa amejaaliwa haswa idaya ya mgongo na kuna wakati nilijikuta nikivutiwa kumwangali nafikiri nayeye alinigundua maana baadae alirudi kwenye gari na alikuwa hataki kushuka tena. ilifikia mahali nikajisemea huyu mama ana umbo zuri sana na lenye kunivutia lakini kwa umri wake anamkaribia kabisa mama yangu mzazi hapo nilipata wakati mgumu sana kutafakari. nawe tafakari
mboni hata lutu enzi hizo za sodoma na gomola watoto wake walibidii waanzishe famila kama vipi vipi tu kwani nini..