Summer jam ilifungiwa kipindi kile watu walivyokuwa siriazi na maadili. Ila siasa zilivyochanganywa na fursa saivi ni kufiestika tuu! Wanasema ni shidaaa
Chochea motoo....chochea kunii...
Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
Vigodoro na baikoko ndo usiseme
Wabongo tushachoka, wengi tumekata tamaa ya maisha..gap ya wenye nacho na wasio nacho ndio inazidi kutisha! Hatutaki kuwaza nje ya box tena, tunataka shortcut na kuwaza mambo rahisi rahisi hatutaki kujichosha na kujiongezea stress!
Ma disco vumbi, vigodoro, ulevi(viroba+bange+ugoro) vijana kwisha habari yao!
Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
Yeah inauma kwakweli tunakiangamiza kizazi kijacho
Serious mkuu, huku mitaani hakueleweki! Huwezi kumtofautisha graduate na kijana wa mtaani tuu! Wanapigika vibaya. Hasira wanayo ifuga sijui wataitolea wap?
Sent from my WhiteBerry using JamiiForums