Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 8,574
- 12,318
Sasa nyie mnaolalamika mnamlaumu nani?
Watanzania kwa kulalamika?,wewe nani kakukataza kutengeneza hii ili watu wasiagize china?
Hiyo unaona ni mtaji mkubwa sana kiasi cha kuendelea kuagiza njiti toka China halafu unaendelea kulaumu Serikali? Masikini TanzaniaUsimsikilize Mwijage, na wewe fanya research yako. Mashine ni kuanzia $15,000. Hizo za $8000 ni zipi? Na zinapztikana China, so hapo kuna gharama za shipment. Bado hujajenga HANGAR, hujaunganisha umeme, hujaleta raw materials etc. Roughly ukiwa na $25,000 au $ 30,000 unaweza ukaanza kwa ugumu...!!!