Image ya saini ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

Hata me najiuliza sasa sign inafaida gan kwa sasa kwa mtu aliyefariki? mbona naona ni ujinga tu......

sio ujinga inasemekana Hii hati ni feki sasa ile original inasiri kubwa zakutisha kuuhusu muungano. mi nawashauri waidai tu!
 
Inasikitisha kuona tunajadili upuuzi... sahh zinabadilika kutegemea na nyakati pamoja na mikao.
Ukiandika umekaa itatua tofaut na ya kusimama.

Sahih ya mwaka jana kuna uwezekano isiwe sawa na ya mwaka huu.
Huo mkasa umenikuta bank ya exim juzi bank teller anazngua kunipa hela kisa sahihi zimetofautiana.

Mkono si sawa na photocopy machine kiasi kwamba utende sawa kila wakati.

Msiwe mnajitoa ufahamu kutetea ujinga usiokuwa na mashiko wala tija kwa taifa.
Nyie ndo mnachangia hii nchi ionekane imejaza wapumbavu na wajinga lundo.

Lazima ufikrie usiseme watu wajadili ujinga si ajbu hata wewe unaweza kuwa mjinga mojawapo sahihi inaweza kuwa tofauti si kwa herufi zaid ya 3 na hata mkunjo na unaposema inategemeana umesimama au umekaa kwa karatasi muhimu kama hiyo uwezi kusimama. kama daftari la waombolezaji wanaweka sahihi wamekaa iweje hiyo asimame hoja yako haina mashiko wewe ndo unatetea ujinga wa uchachuaji ifike sehemu tuseme basi.
 
Mkuu FaizaFoxy hebu tuorodheshee hata moja la kimaendeleo kwa watu (human development) ili ku justify andiko lako hapa!!!

mifaidha namchukia! namchukia nashindwa kusema we nyerere kajenga maviwanda vyuo mabarabara. kampiga nduli! shit sito sema yote yeye anamsifia anaye.......kabinti kakiarabu Kule iringa. tena kwakuhongwa naASA... nakuchukia faidha nakuchukia! haunabusara kwa wajukuzo. mi nakuchukia sana
 
Yaaani mkuu sema usiogope!!! Report ya Maendeleo ilitoka jana or juzi na katika 50 poorest countries Tanzania ni no. 47!!! Tumeshawaambia waje huku wasome, tena naomba tena niwanukuu Msalani nimemsahau na Nape Nnauye (Napelepele Nnauye -la kughushi).
 
weeee mi nahofia kulimbokwa bado motto mdogo na niliambiwa nisiseme
 
Mkuu kweli wewe huoni, herufi K. Ni printed sio handwriting ya Julius. Zote ni fake. Werema na masoud walete hati halisi ya muungano sbb wao ndo wanazitunza.
Soma vizuri maoni yangu. NImesema kwamba hayo ni majina tu wanachotakiwa kuangalia ni uzito wa yaliyomo kama maudhui yake ni sahihi basi waendelee na majadiliano. Kuandika kwa mfano "Jakaya M. Kikwete" huwezi kuita kuwa ndiyo sahihi ya JK
 
weeee mi nahofia kulimbokwa bado motto mdogo na niliambiwa nisiseme

Sawa mkuu, watapambana mwisho watachoka!!! walipambana na CDM mara ughaidi mara kesi za kubambikiza!!! Sasa hivi wameanza kugeukana wao kwa wao tu maana muda unakaribia!!! Kwa mantiki hii watang'oa watu macho, kucha,meno n.k lakini iko siku watashindwa maana watakaonyanyuka kudai haki watakuwa ni wengi sana. Tunaogopa kusema leo ila kesho na kesho kutwa watu watasema!!!
 
ila IPO cku
 
Halafu mnawalaumu wachina kuwa wanatengeneza vitu feki! Sisi ndio waalimu mpaka hati ya muungano ni feki.
 
Mimi niliisha sema tangu mwanzo, muungano ulifanyika kiujanja ujanja,kwanza bila kuwahusisha wananchi pili kwa maslahi binafsi. Ni wakati muafaka kuuvunja rasmi na kufikiria upya na wananchi waulizwe kama wanautaka huo muungano au la,vinginevyo unanufaisha watu wachache tu.Saini hizo zimegushiwa kwa kuwa zina tofauti kubwa sana.ili kuhakikisha ziangaliwe saini za nyerere zilinganishwe na hizo mbili hapo juu. By the way saini ya karume iko sawa?, na kwa nini Nyerere ndiye aliyeonekana akichanganya udongo wa zanzibar na tanganyaka? karume alikuwa wapi kwenye sherehe hiyo?. Tanganyika irudi kwenye nafasi yake. Nembo yake ni Twiga kama nakumbuka vizuri.
 
Zote zake hizo, ikitegemea na mood na kama alisha choma au bado.

Madhani hiyo " alisha choma" unamaanisha bangi! Katika uislamu imekatazwa kumsingizia marehemu, jee unao ushahidi kuwa Mwalimu alikuwa "anachoma."? Au uislamu unakataza kumsingizia marehemu muislamu tuu wengine kama kawa?

Sent from my iPad using JamiiForums
 
saini-564x272.jpg
Ipi ni saini yake ya kweli ???

Hiyo saini ya kwanza mbona ni ya Julius Mamihuri wa pale Mtaa wa Samora? Ni kijana mdogo sana kazaliwa miaka ya 80, anapenda kuvaa mapete ya gold. Sijui saini yake imefikaje Dodoma?!
 
Back
Top Bottom