Image of virgin Mary grows on tree

Ok nilikua tu nakuelewesha,na huwa sipendi kubishana kwenye mambo ya dini na kama hujaelewa basi tafuta viongozi wako wa dini wakuelweshe zaidi.

Kati yangu ninayekuuliza swali ambalo huwezi kulijibu na wewe uliyeshindwa kunijibu nani hajaelewa imani yake?
 
Imebaki ubishi tu ila hapa umejibu vema. Watu huwa hawaamini kuwa unaweza kumuona Mungu. Muimbaji mmoja anaitwa Benard Mukasa aliyeimba "Nimemuona Mungu" pamoja na ule "Nineonja pendo lako" watu walishangaa, Mungu amemuonaje?? Mungu huwa haonekani! Kumbe Mungu huonekana kwa macho ya rohoni katika kuwatendea watu mema na kusaidia wenye dhiki😊
 
Nashukuru kuna mambo nayoendelea kujifunza kwa umakini kupitia michango ya watu.
 
Wewe ndo hujaelewa imani yako.
1.Naisi what I do believe in,Is not what your believing in so kunautofauti na ndio maana unaona kama sijakujibu
So huwezi nielewa maana ninacho kiamini mimi sicho unachokiamini wewe
Kati yangu ninayekuuliza swali ambalo huwezi kulijibu na wewe uliyeshindwa kunijibu nani hajaelewa imani yake?
 
Wewe ndo hujaelewa imani yako.
1.Naisi what I do believe in,Is not what your believing in so kunautofauti na ndio maana unaona kama sijakujibu
So huwezi nielewa maana ninacho kiamini mimi sicho unachokiamini wewe

Imani yangu ipi?
 
Kujadili masuala ya kiimani kwa ufahamu wa kawaida ni kupoteza wakati..
MUNGU awasaidie wote mfahamu iliyo kweli.

Unaweza kuthibitisha kwamba mungu yupo na si hadithi za kufikirika tu?

Ufahamu wa kawaida ni upi na usio wa kawaida ni upi?
 
Mimi ni mprotestant ila heshima kwa Maria ipo 100%. Kama ilivyo kwa watu wengine wa Biblia kama Petro, Ibrahim. Ila wote naamini ni wafu.
 
Wewe ndo hujaelewa imani yako.
1.Naisi what I do believe in,Is not what your believing in so kunautofauti na ndio maana unaona kama sijakujibu
So huwezi nielewa maana ninacho kiamini mimi sicho unachokiamini wewe

Mkuu huyo haamini uwepo wa Mungu...Mtabishana hapo mpaka kesho..
 
Kwenye swali hili ngoja nimuite maalim wangu kahtaan na kaka Eiyer

Mkuu,mbona huyo aliyemquote ametoa maelezo ambayo yanaridhisha kabisa?

Lakini pia hilo swali tayari lilishajibiwa,kama alishajibiwa na hakuelewa ni kitu gani kitamfanya aelewe sasa?

Jamaa anaonekana ana bifu na Mungu balaa ....!!
 
Unaweza kuthibitisha kwamba mungu yupo na si hadithi za kufikirika tu?

Ndio naweza. Hebu kiri kwa ulimi wako kuwa umechoka kuishi duniani kama kweli Mungu upo nichukue kabla mwaka huu haujaisha uone kama utarudi kutoa feedback hapa😊 hujasoma habari za Ananiah na hila yake kwenye uuzaji wa plot eeh!

Kumbuka, hata iwe ni kufikirika au kamba kama ulivyosema mapema lakini huyo Mungu anasema "....ni Mungu mwenye wivu.....huwabariki maelfu kwa maelfu wampendao". Yaani hata mtu aspoamini, Mungu ana watu wengi sana wanaomwabudu na kumsifu siku zote. Anabaki kuwa Mungu Oh Halelujah😊
 
Kazi ipo

Tena si ndogo.

Watu wanakwambia mungu ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.

Halafu hapo hapo anaachia kinamama na vitoto vichanga vinakufa na Ebola, ndugu zao wakiwalilia msibani na kuwagusa na wao wanapata Ebola wanakufa.

Inabidi watu walazimishwe hakuna kuzikana, maiti zinazikwa na team maalum.

Watu wanakufa kwa mafungu kama nzi.

Mungu yupo, dawa anaijua, uwezo wa kuwasaidia anao, mnasema upendo wa kuwasaidia anao.

Sasa kwa nini hawasaidii awaondolee tatizo hili?

Huyu mungu mbona mkatili hivi?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…