Samahani. Haina haja ya kupaniki. Hatushindani. Tunajadili tu. Sio kuwa nimeshindwa kutoa majibu ila hata nikisema hivi au vile, majibu yangu yata-base kwenye Biblia inayosema Mungu ni Roho nao wamwabuduo imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.
Pia, si mimi nisemaye mtu asiyeamini uwepo wa Mungu ni mpumbavu, again ni Biblia hiyo hiyo ninayoiamini mimi 100% inasema asemaye hakuna Mungu ni mpumbavu.
Sasa kwa vile wewe huamini uwepo wa Mungu (upumbavu kwa mujibu wa Biblia ninayoiamini), basi si rahisi tukaelewana. Hutayaamini majibu yangu maana huamini Uwepo wa Mungu, hivyo sijashindwa kujibu maswali yako.
Kinachonishangaza huyu mwanamke mpaka leo anaitwa virgin eti
Anaitwa virgin kwa sababu
1. Kumbuka mimba aliipata kwa uwezo wa roho mtakatifu na ndio maana anaitwabikra kwakuwa hakua amegegendana na mtu though alikua ana mumewe joseph ila aliambiwa atapata mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu ndio maana anaitwa bikra mapaka leo japokuwa amezaa ila mimba hiyo hakuipata kwa njia ya gegendo
Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aachie watu wafe kwa ugonjwa kama Ebola?
Nikikwambia watu walioandika biblia walitaka kuwashikia akili wapumbavu wanaoogopa kuitwa wapumbavu kwa kuandika "mpumbavu amesema hakuna mungu" na kwa sababu wewe ni.mpumbavu unayeogopa sana kuitwa mpumbavu kuliko kuwa mpumbavu utajibu vipi?
Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aachie watu wafe kwa ugonjwa kama Ebola?
Nikikwambia watu walioandika biblia walitaka kuwashikia akili wapumbavu wanaoogopa kuitwa wapumbavu kwa kuandika "mpumbavu amesema hakuna mungu" na kwa sababu wewe ni.mpumbavu unayeogopa sana kuitwa mpumbavu kuliko kuwa mpumbavu utajibu vipi?
Ipo siku amini nakuambia utakiri uwepo wa Mungu, amini maneno yangu haya, utakiri tu! Hata waliomsulubisha ilifika point wakaamini na kusema "hakika huyu alikuwa Mwana wa Mungu" pale alipokata roho miamba ikapasuka, makaburi yakafunguka, pakawa giza na tetemeko la nchi kuashiria kuwa aliyeondoka duniani naam si wa kawaida!!
Ila nakuambia ndugu yangu, hata leo yupo na anaokoa maelfu na maelfu. Huyu ndiye, naam mwenye jina maarufu na lenye uwezo na lipitalo majina yote. Je, umesahau au huamini kuwa "kila goti litapigwa"?
Acha niwe mpumbavu ila "mtafufuteni Bwana maadam anapatikana".
Kwan Maria alivyozaa Yesu,,yule mmewe Yusufu hakulala naeee
Hakuzaa wadogo zake Yesu!!?? Kwa hiyo bikra iliendelea tu kujirudiaa????
Huu uzi ulikuwa kaskazini kwasas uaelekea kaburini..
wewe ndio wasema hapa ili kuhalalisha unachokiamini peke yako, but i stand to be corrected, mie nazungumza kwa uhalisia, kama alitumiwa kama walivotumika binadamu wengine, je waweza kuniambia ni wapi katika biblia mtu (mwanamke) ameambiwa Umebarikiwa wewe kuliko wanawake wote?je baraka ya mungu wewe mwanadamu waweza ifuta?
hakuna alikuambia kuwa maria sio binadamu, yupo?if yes ni nan?
wanachokuambia hapa watu ni kuwa Maria is Blessed, ni mama wa Yesu, na watu kuomba kwa kusema Maria utuombee, sio kuwa wanakosea...au wewe hukusoma kuwa Mungu anasikiliza maombi ya watakatifu? na utakatifu wa maria malaika alikufunulia kwa kusema wazi wazi kuwa amebarikiwa yeye kuliko wanawake wote... naamini umenielewa...but wakaribishwa kama una maswali zaidi.
Anaitwa virgin kwa sababu
1. Kumbuka mimba aliipata kwa uwezo wa roho mtakatifu na ndio maana anaitwabikra kwakuwa hakua amegegendana na mtu though alikua ana mumewe joseph ila aliambiwa atapata mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu ndio maana anaitwa bikra mapaka leo japokuwa amezaa ila mimba hiyo hakuipata kwa njia ya gegendo
Lakini baada ya kumzaa Yesu si aligegedwa?? Kwa nini mpaka leo anaitwa bikra?
Hakulala nae na ndio maana aliambiwa atapata mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu its a long story but ukiwa unasoma bible if you are a chriastian utaelewa mumy, napia hakuzaa wadogo zake na iliitwa bikra na ataitwa bikra mpaka leo kwakua hakuwai kulala na mwanaume
Kwa nini bimira Maria hajatokea Monrovia Liberia watu wanakufa kwa Ebola kama nzi awape dawa?
Aligegedwa na nani...? Hebu tupe hata uthibitisho wa kimapokeo na kiutamaduni maana uthibitisho wa kimaandiko hata Yesu akirudi hutaweza kuthibitisha..
Lakini baada ya kumzaa Yesu si aligegedwa?? Kwa nini mpaka leo anaitwa bikra?
Mmmmn your just challenging me ok here we go let me answer you this way, kwa IMANI yangu na Maandiko ya bililia niliyosoma yasema popte mlipo kati yenu mumngu yupo na hata muwe wawili au watatu mungu yupo na huyo maria unaemsema pia yupo tha'ts why watu wanapata misaada kutoka nchi za nje, ivi for your own thinking capacity bila mungu kuwapa miyoyo watu ambao hata leo hii wanatoa misaada na wengine pia wanapona unafikiri ni kwauwezo wa binadamu?
Na usemavyo kuwa maria kwanini hajatokea akawapa watu dawa unatakiwa uelewe kua anaweza kutokea kwa njia nyingine ambayo siop ya kibinadamu bali ya kiroho.
Hata kumpitia binadamu na sio yeye kama yeye, na ndio maana pia maandiko yanasema yesu angeshuka toka mbinguni yeye kama yeye kwa muonekano wake kama alivyo in this worl asingebaki mtu maana yuko tofauti na sisi he has a power watu wote tungekimbia kwa uwoga na kwa zambi zetu tulizo nazo,maria aweza kutokea in other way ambayo bila IMANI huweza kutambua that's all.
Hujajibu kwa nini bikira Maria hajatokea Monrovia na kuwapa watu dawa ya Ebola.
Aende kutokea Iowa huko.