Kwa namna fulani nimekujibu swali lako. Nina maana hii, si lazima kila umuombacho Mungu utapewa hapo hapo au kwa namna unayotaka wewe. Unaweza ukapewa kwa namna nyingine au wakati mwingine au vyote viwili. Wewe unasema Mama Maria awaponye WaLiberia kwa ugonjwa wa Ebola, umefanya juhudi gani? Wewe binafsi umemuomba Mungu kwa hilo? Umeomba Maria msaada wa maombezi yake? Naye anakuombea, hatoi unachokiomba.Hujajibu swali.
Kwa namna fulani nimekujibu swali lako. Nina maana hii, si lazima kila umuombacho Mungu utapewa hapo hapo au kwa namna unayotaka wewe. Unaweza ukapewa kwa namna nyingine au wakati mwingine au vyote viwili. Wewe unasema Mama Maria awaponye WaLiberia kwa ugonjwa wa Ebola, umefanya juhudi gani? Wewe binafsi umemuomba Mungu kwa hilo? Umeomba Maria msaada wa maombezi yake? Naye anakuombea, hatoi unachokiomba.
Au unaongea tu ili umjaribu kama ibilisi alivyomjaribu Yesu hapo kwenye mnara? Au unataka ishara tu? Angalia hii:
[SUP]11[/SUP]Mafarisayo walikuja, wakaanza kujadiliana na Yesu. Kwa kumjaribu, wakamtaka afanye ishara kutoka mbinguni. [SUP]12[/SUP]Yesu akahuzunika rohoni, akasema, Mbona kizazi hiki kinataka ishara? Kweli nawaambieni, kizazi hiki hakitapewa ishara yoyote. [SUP]13[/SUP]Basi, akawaacha, akapanda tena mashua, akaanza safari kwenda ngambo ya pili ya ziwa.
Kwa hivo nikishasoma hapo tu ndo nitakuwa nimepata jibu? Kila wakati huwa sipendezwi na watu wanaokazana kukutolea mstari mmoja mmoja kwa bible, anyway hapo kwa mistari uloisema inaelezea roho mtakatifu (naamin unajua roho mtakatifu alishuka siku 40 baada ya kupaa yesu (Pentecostal)) ndiye anatuombea, je ni yeye tu anayetuombea? ?
Je umesoma mstari wa 34 katika sura hii hii unayoisema (I mean sura ya 8)?
Au hukupata kusoma habari za Abraham kuwaombea watu wa Sodoma na Ghomora?
Au hukusoma habari za Musa kuwaombea wana wa Israel walipokuwa wakivunja amri za mungu kule jangwani? ?
Sasa Kipi cha ajabu kwako kusema Maria anatuombea/tuombee?
Tafadhali hebu nijibu.
Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao unawezekana kuwa na Ebola wakati ana uwezo wa kuumba ulimwengu ambao hauwezekani kuwa na Ebola?
Umesahau kuwa Mungu haumbi vichwa vibovu bali ni mwanaadamu mwenyewe anakuwa na AKILI MBOVU kutokana na uvivu wake,
We kesho ukijikojolea kitandani pia utauliza, kwanini Mungu kaumba kiumbe naejikojolea!
Tunafahamu kuwa WEWE na ATHEIST WOTE Huwa hamna sababu ya MAANA hatta MOJA ya ku justify your CLAIMS!
All you have is a bunch of GARBAGE.
AND THAT IS YOU MZEE manyege!!
I ddnt expect this from you.
Enlighten me please.
What did I do wrong!
egentle when it comes to God to me that is Personal! No Doubt about that.Una take argument personal sana.
Mkuu, sometimes unaeza kuwa unaongea point njia na manen utayotumia yanaeza potosha intended message
Umesahau kuwa Mungu haumbi vichwa vibovu bali ni mwanaadamu mwenyewe anakuwa na AKILI MBOVU kutokana na uvivu wake,
We kesho ukijikojolea kitandani pia utauliza, kwanini Mungu kaumba kiumbe naejikojolea!
Tunafahamu kuwa WEWE na ATHEIST WOTE Huwa hamna sababu ya MAANA hatta MOJA ya ku justify your CLAIMS!
All you have is a bunch of GARBAGE.
AND THAT IS YOU MZEE manyege!!
egentle when it comes to God to me that is Personal! No Doubt about that.
But I got your point and believe me I am trying my hardest to be soft with these bunch of inbred atheists.
So time I just feel like putting my hands on these animals. But hey!
Its a free world innit?!
Hujaelewa swali.
Kwa nini mungu kaumba ulimwengu ambao vichwa vibovu vinawezekanika kuwapo wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao vichwa vibovu haviwezekaniki?
Kwa nini mungu just aachie watoto ambao hata hawajaonja maisha wafe?
Kwa nini wengine wafe vichanga, wengine waishi miaka mia moja?
Unaelewa maana ya "just" wewe?
Huyu mungu anayeacha vitoto vichanga vife wakati ana uwezo wa kuzuia hilo si just.
Mungu just angetaka kuwepo na usawa, sasa mbona wengine anawapendelea na wengine hawapati hata kujijua?
Justice ya wapi hiyo?
Umesema upendo apewe anayestahili tu, sio kila mtu.
Wale watoto wadogo wasiojua kitu wanaokufa kwa Ebola hawastahili upendo wa huyo mungu wako?
Mungu mwenye hasira anahitaji "Anger Management" classes. Hasira ni weakness, mungu mwenye hasira ni mungu weak ambaye kashindwa ku control emotions zake.
"Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa".
Just iliyohapa siyo ya kulinganisha kichabga kufa na mwingine kuishi miaka 100. Kujua maana ya hili shida hapa iko kwenye kuelewa Mungu ni nani? Hilo ndio tatizo hapa. Na tayari huamini Mungu kuwa yupo. Endelea kuamini hivyo. Lakini ipo siku utapiga goti ndugu yangu
Are you mad?
Mi ntamsaidia kujibu.
Jibu lake ni kuwa.
Mpumbavu ni Yule ambae anakubali kuwa hapo mwanzo kabisa kilitokea kitu kutoka KUSIKO JULIKANA! kitu hicho kwa SABABU ISIOJULIKANA kikapasuka Na Ghafla baada ya miaka Bilion kadhaa Akatokea kiumbe mmoja aitwae Kiranga mwenye tabia ya kuhara hovyo bila sababu maalum kwenye Jukwaa Moja liitwalo Jamii Forum kwa sababu ambazo PIA HAZIJULIKANI.
Kiumbe huyu akajiita Kiranga Kwa maana ya "manyege"! Kila anapojaribu Kuelekezwa vitu na viumbe wengine kile kiungo Kiitwacho Busara Mara zote huwa anakikalia na kiungo kingine kiitwa MAKALIO na kila Anapojaribu kuelekezwa anazidi KUHARA JUKWAANI pia jwa SABABU ZISIZOJULIKANA.
Sasa viumbe wengine km kina kahtaan Wakaona ni Bora Waache Kumuelekeza kwa sababu lile jina Kiranga huenda likawa Limemuathiri sana Kile kiungo Kiitwacho UBONGO! manake si kawaida ya Binaadamu KUJIITA "MANYEGE"!
Kitu ambacho Huyu bwana Manyege anacho sahau Kutambua ni Kuwa ni Kanuni ya kawaida kabisa ya Binaadamu kama anahitaji kufahamu kitu chochote basi lzm awe na weledi na kukubali Kutazama kila Kona ya maelezo ya jambo/kitu hicho na sio Kung'ang'ania kona moja tu ka sindano ya santuri imenasa.!!!!
Lkn bahati mbaya Kichwa kinachohifadhi kile Kiungo Kiitwacho Ubongo cha huyu mzee manyege aka Kiranga Kimeathirika sana na zile kazi ngumu anazozifanya za kubeba mizigo mizito kutokana na Elimu yake ndogo. Hivyo kukosa uwezekano wa ajira za Kutumia Huo UBONGO!
USHAURI/HITISHO.
Ni kawaida kwa Binaadamu kila siku ziendazo mbele na weledi wake kuongezeka lkn kuna binaadamu km asilimia 2% ambao kwa sababu Ya bongo zao zilivyo Badala ya wao Kuongezeka weledi basi siku hadi siku wanazidi kuwa Wapumbavu! Na bahati mbaya mimi au Yyt aliyemo humu Jf Hawezi Kuligeuza Hilo.
Na nina hakika 100% wewe bwana Kiranga bahati mbaya UMO KTK HIO ASILIMIA 2%.
That is very Unfortunate.
Critical Thinker 
Mh kwa hiyo wataka kutuambia hata tokeo la Musa na Eliya kule mlimani ilikuwa ni kazi ya shetani kujigeuza kuwa malaika wa nuru? Au Paulo wakati huo akiitwa Saul alipotokewa na Yesu njian akienda Damascus nayo ni shetani alijigeuza kuwa malaika wa nuru? Usibishe kitu kwa kuchukulia hoja ya jumla kuwa mtu hawez tokea.
Au hukusoma Petro alivosema bwana ni vizur kuwa hapa basi na tufanye vibanda vitatu kimoja chako kimoja cha musa na kingine cha eliya, je unajua ni miaka mingapi ilipita tangu uwepo wa musa hadi petro kuzaliwa? Na je petro alijuaje hao ni musa na Eliya? Maana Yesu hakuwambia hao ni kina nan au kulikuwa na picha ya musa na eliya ndo maana petro akawajua? ?
Enzi za kina Mussa ilikuwa ni tofauti na baada ya kuja Yesu. Sasa kila mtu ana nafasi yake kuweza kwenda directly na kuusogelea uso wa Mungu.
Na ndio maana hata Maria watu walipomfata kwa habari ya divai kuisha kwenye shughuli aliwajibu nini??? Think mkuu then share nami
Between myself, the one who is asking logical questions and you, he who is believing in an unseen, unprovable, unknowable godhead, who is mad here?