Image of virgin Mary grows on tree

Image of virgin Mary grows on tree

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,248
mery.jpg
Some believe the appearance of the Virgin Mary is a sign of divine intervention.

The mysterious image of what many are calling a perfect likeness to the Virgin Mary can be seen on the side of tree located at the intersection between 3rd Street and Bridge Road in Polk City, Iowa. A Nov. 14 report by KCCI 8 News explains that the shape in the tree is about 6 feet tall. It has residents asking what it really means.

While many claim it is the likeness of the Virgin Mary, others say it looks like Jesus. Still others claim to see the image of Mother Mary holding baby Jesus in her arms. There are, of course, skeptics who claim the image on the tree is only an illusion. They claim people only see what they want to see.

According to a KEYE TV report, some are so taken with the image that they have begun to place flowers at the feet of what they believe is the image of Virgin Mary. In fact, some claim that this is a case of divine intervention. They believe that the image is a message from God.

Scientists and skeptics might claim the image is nothing more than a case of pareidolia where the human mind strives to make sense out of chaotic images and perceives them as something they are not. This typically means seeing human faces or human forms where none exists. Many believe that pareidolia causes religious people to see religious symbolism, such as Jesus and Mary, when they do not really exist.

Source: examiner.com

virgin Mary ananafasi ipi katika ufalme wa Mungu, naomba kujuzwa tafadhari.
 
Yesu ana nafasi gani katika ufalme wa Mungu..?

Twende Taratibu.

Yesu ni mwana wa Mungu na ni Mungu.

Jesus aliexist mda mrefu sana before hata Mary kuwepo. Amejidhihirisha kwetu kupitia Mary. But haimanishi wanauhusian Mary na Jesus wapo kama mimi na Mama yangu.
 
Kwa taarifa yako Maria alitabiriwa tokea enzi la Agano la kale kuwa atamzaa Yesu....

Ngoja nikurudishe nyuma Uone...Soma Isaya 7:13-17.........Huyo atazaliwa Betlhemu mji wa Mfalme Daudi Mik 5:2

Unabii huo unatimia Maria alipomzaa Yesu (Mt. 1:21-23)

Hayo yalitokea kabla hata makanisa Hayakuwapo.....
 
“Mimi ndimi
njia, na kweli, na uzima, mtu haji kwa Baba, ila
kwa njia ya mimi.”

Mungu alimuenzi Maria tokea Mwanzo....

Tazama hapa uone mambo..

Mungu alituma Malaika akampe heshima Maria kwa salamu maalum na akamwambia kuwa Mungu amemteua kuwa Mama wa Yesu..(Mungu)..... Rejea Injili ya Mt. LUKA 1:26-33...

Roho Mtakatifu kupitia midomo ya Elizabeth " Umebarikiwa wewe katika Wanawake woteeeeeee....Luka 1:42

Tuone jinsi master, Mungu wa miungu Yesu Kristo alivyomsifu Maria siyo kwasababu alimzaa yeye ila kwasababu alisikia Neno la Mungu na kulishika...Luka 11:27-28

Vipi nakuuliza hivi hayo unahitaji kuwa na sayansi ya Roketi kuyaona katika Biblia...?

Umalingine nikujibu...????
 
Twende Taratibu.

Yesu ni mwana wa Mungu na ni Mungu.

Jesus aliexist mda mrefu sana before hata Mary kuwepo. Amejidhihirisha kwetu kupitia Mary. But haimanishi wanauhusian Mary na Jesus wapo kama mimi na Mama yangu.

Wewe baba yako akiwa Professor na wewe utakuwa ni Professor? Halafu hawa Miungu wako wangapi?
 
Kwa taarifa yako Maria alitabiriwa tokea enzi la Agano la kale kuwa atamzaa Yesu....

Ngoja nikurudishe nyuma Uone...Soma Isaya 7:13-17.........Huyo atazaliwa Betlhemu mji wa Mfalme Daudi Mik 5:2

Unabii huo unatimia Maria alipomzaa Yesu (Mt. 1:21-23)

Hayo yalitokea kabla hata makanisa Hayakuwapo.....

Twende taratibu unaend mbali.

Kuna mstari unaonyesha kuwa Mungu alimkilimia Yesu jina kupita majina yote hipo wazi.

Je kuna sehemu ambako Maria ametajwa kama nyie mnavyoona kuwa ni mama wa Yesu kama ilivyo sis tunavyo chukulia mama zetu?

Kuna sehemu ambapo imeonyeshwa nafasi ya Maria katika ufalme wa Mungu?

Nakumbuka kuna mahala, Yesu alikuw na wanafunzi wake, akaambiwa kuwa mama yako na ndugu zako wanakuja kukutizam
Unakumbuka alijibu nini?? na hili jibu kwako linamaan gani?

Twende taratibu tujibiane vingere tunavyo ulizana, kimoja kwa kingine.
 
Wewe baba yako akiwa Professor na wewe utakuwa ni Professor? Halafu hawa Miungu wako wangapi?

Haha unaleta mashindano ya Lugha mkuu.

Ila naomba hujibu swali haya.
Mungu ni nani? Au ni nin?
wakati biblia inasema kwenye Mwanzo wakati wa uumbaji KUWA NA TUMFANYE MWANADAMU KWA MFANo WETU alikuwa anaongea katika nafsi ipi umoja ama wingi!? Jibu hayo twende taratibu
 
Twende taratibu unaend mbali.

Kuna mstari unaonyesha kuwa Mungu alimkilimia Yesu jina kupita majina yote hipo wazi.

Je kuna sehemu ambako Maria ametajwa kama nyie mnavyoona kuwa ni mama wa Yesu kama ilivyo sis tunavyo chukulia mama zetu?

Kuna sehemu ambapo imeonyeshwa nafasi ya Maria katika ufalme wa Mungu?

Nakumbuka kuna mahala, Yesu alikuw na wanafunzi wake, akaambiwa kuwa mama yako na ndugu zako wanakuja kukutizam
Unakumbuka alijibu nini?? na hili jibu kwako linamaan gani?

Twende taratibu tujibiane vingere tunavyo ulizana, kimoja kwa kingine.
Twende taratibu kivipi wewe....Mimi naongea kwa Evidence ya maandiko wewe unaongea maneno matupuu..

Support you arguments with scripture...

Mpaka sasa huna hadhi ya kujadili...
 
Haha unaleta mashindano ya Lugha mkuu.

Ila naomba hujibu swali haya.
Mungu ni nani? Au ni nin?
wakati biblia inasema kwenye Mwanzo wakati wa uumbaji KUWA NA TUMFANYE MWANADAMU KWA MFANo WETU alikuwa anaongea katika nafsi ipi umoja ama wingi!? Jibu hayo twende taratibu
Toa andiko wacha kuwa kama kasuku...maswwla ya sijui andiko,hata quran ni andiko..
 
NAPITA jana na leo unaweka picha ambazo zinaibua mijadala mizito sana jana ile picha ya Nyerere hadi watu wakatukanana majitusi na leo huwenda yakatokea..........!!!!
 
Back
Top Bottom