Image of virgin Mary grows on tree

Image of virgin Mary grows on tree

virgin Mary ananafasi ipi katika ufalme wa Mungu, naomba kujuzwa tafadhari.

Aisee wewe uko kama mimi. Hivi huyu Maria mbona ni kama amechukua attention ya watu kuliko hata Yesu mwenyewe? Kuna dhehebu fulani yaani wao muda wote salam maria salam maria!!! Jamani huyu alitumiwa na Roho Mtakatifu kumleta Yesu (Mungu) duniani na kazi yake iliishia hapo. Alikufa na anasubiri ufufuo kama wengine. Wengi hudhani yupo anaishi!!! No way!

Anayeishi ni Yesu, Musa, Eliya, Enok. Hao Biblia ilisema wazi kuwa wako Mbinguni wanaishi hata leo. Lakini Bikira maria???

Hebu wasilianeni na Yesu moja kwa moja bana mnaogopa nini sasa, hivi mnajua maana ya lile pazia jekundu kwenye synagogue kupasuka wakati Yesu alipokata roho? Maana yake ni ruksa sasa kuwasiliana na Yesu moja kwa moja si lazima kupitia kwa kuhani kama ilivyokuwa zamani. Maana zamani madhabahuni mtu alikuwa hatii maguu! Ila unaona siku hizi, kila mtu anafika!

Samahani lakini.
 
Unaamini Maisha baada ya kufa....Unaamini uwepo wa Watakatifu...?

Bikira Maria ni Mtakatifu kama Watakatifu wengine...
 
NAPITA jana na leo unaweka picha ambazo zinaibua mijadala mizito sana jana ile picha ya Nyerere hadi watu wakatukanana majitusi na leo huwenda yakatokea..........!!!!

Mkuu mi kama unavyojua ni matukio yanayotoke na kutaka jamii yangu humu jf kufaham lakini sasa mapokeo ya watu ndo tofauti pamoja na utofauti huo unaojitokeza lakini unajifunza mambo tatizo pale wanapotumia lugha kali kama za jana kwenye ule uzi wa Nyerere hiyo aipendezi au kudhalilisha imani za watu hapo si sawa.
 
Aisee wewe uko kama mimi. Hivi huyu Maria mbona ni kama amechukua attention ya watu kuliko hata Yesu mwenyewe? Kuna dhehebu fulani yaani wao muda wote salam maria salam maria!!! Jamani huyu alitumiwa na Roho Mtakatifu kumleta Yesu (Mungu) duniani na kazi yake iliishia hapo. Alikufa na anasubiri ufufuo kama wengine. Wengi hudhani yupo anaishi!!! No way!

Anayeishi ni Yesu, Musa, Eliya, Enok. Hao Biblia ilisema wazi kuwa wako Mbinguni wanaishi hata leo. Lakini Bikira maria???

Hebu wasilianeni na Yesu moja kwa moja bana mnaogopa nini sasa, hivi mnajua maana ya lile pazia jekundu kwenye synagogue kupasuka wakati Yesu alipokata roho? Maana yake ni ruksa sasa kuwasiliana na Yesu moja kwa moja si lazima kupitia kwa kuhani kama ilivyokuwa zamani. Maana zamani madhabahuni mtu alikuwa hatii maguu! Ila unaona siku hizi, kila mtu anafika!

Samahani lakini.

Kwanini kaburi la mama HELLEN G WHITE limejengwa kama pyramid (freemason sign)?
 
Twende taratibu kivipi wewe....Mimi naongea kwa Evidence ya maandiko wewe unaongea maneno matupuu..

Support you arguments with scripture...

Mpaka sasa huna hadhi ya kujadili...

jibu maswali yangu usiyaepuke tafadhari.

Unataka evidenc kwenye andiko lipi ambalo unahisi nimelidanganya,
 
Aisee wewe uko kama mimi. Hivi huyu Maria mbona ni kama amechukua attention ya watu kuliko hata Yesu mwenyewe? Kuna dhehebu fulani yaani wao muda wote salam maria salam maria!!! Jamani huyu alitumiwa na Roho Mtakatifu kumleta Yesu (Mungu) duniani na kazi yake iliishia hapo. Alikufa na anasubiri ufufuo kama wengine. Wengi hudhani yupo anaishi!!! No way!

Anayeishi ni Yesu, Musa, Eliya, Enok. Hao Biblia ilisema wazi kuwa wako Mbinguni wanaishi hata leo. Lakini Bikira maria???

Hebu wasilianeni na Yesu moja kwa moja bana mnaogopa nini sasa, hivi mnajua maana ya lile pazia jekundu kwenye synagogue kupasuka wakati Yesu alipokata roho? Maana yake ni ruksa sasa kuwasiliana na Yesu moja kwa moja si lazima kupitia kwa kuhani kama ilivyokuwa zamani. Maana zamani madhabahuni mtu alikuwa hatii maguu! Ila unaona siku hizi, kila mtu anafika!

Samahani lakini.

Biblia inasema ROHO MTAKATIFU UTUOMBEA KWA KUKUGUA KUSIKO TAMKIKA MAANA SISI HATUJUI KUOMBA IPASAVYO.

Hakuna hata sehemu moja ambayo inaonyesha Maria hutuombea kule Mbinguni. Wanadamu wote wakiwa kule kazi yao ni kusifu na kuabudu, tu.
 
Roho Mtakatifu ni Mungu...Tangu lini Mungu akamuombea mtu..? Ana muombea kwa nani..???

Hivi unashirikisha akili yako unapoandika..??

Mkuu hebu nioneshe hilo andiko linalosema Roho Mtakatifu Anatuombea...

Maajabu haya..
 
Jibu swali...how comes mpaka leo anaitwa virgin wakati ameshashiriki tendo???

Mambo ya kimungu lazima ushangae kwa maana ni ya ajabu mno! Lakini huwezi kushangaa viongozi wastaafu kama Marais, Maaskofu, Mabalozi na Mawaziri Wakuu wanaendelea kuitwa kwa vyeo vyao mpaka wanakufa-why?
 
Kama wew ni msomaji wa biblia usinge sema hayo uliosema. Nimesem kasome Mwanzo wakati wa uumbaji ungethibitsha hili,

Nimekupa andiko na kuku-direct vizuri wakati nakujibu..

Kama wewe ni msomaji wa maandiko dhihirisha umahiri wako kwa ku-site andiko...

Punguza porojo dogo..
 
Mkuu, hatushindani umahiri wa ku-site au nan msomaji sana wa bible. Kama wew ni msomaji umeshndwa jua wapi yametoka maandika hayo?

Ok kubwa ngoja nikutafutie huone jinsi Roho MTAKATIFU ANAVYOTUSAIDIA KUOMBA
 
jibu maswali yangu usiyaepuke tafadhari.

Unataka evidenc kwenye andiko lipi ambalo unahisi nimelidanganya,
Support your arguments with sacred Scripture......

Maswala sijui maandiko yanasema bila kuonesha hayo maandiko ni upuuzi....nimekuambia hata Quran ni maandiko....

Shirikisha ubongo dogo..
 
Roho Mtakatifu ni Mungu...Tangu lini Mungu akamuombea mtu..? Ana muombea kwa nani..???

Hivi unashirikisha akili yako unapoandika..??

Kama humshangai Binadamu aliyekamilika kuwa na "Mwili" "Roho" na "Nafsi", Je Mungu Baba si zaidi ya sana, yaani huwezi kuelewa asili ya Mungu na jinsi alivyo kwani sisi ni mavumbi tu tulioumbwa kwa "mfano" wake!
 
Back
Top Bottom