juniour12
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 407
- 378
Wadau naombeni msaada wa kitaalamu jinsi ya kufix hili tatizo maana nimeangalia kwenye sound drivers zipo sawa but sauti haitoki nikiplay audio wala video....
Kabla ya hapo nilikuwa natumia UBUNTU sasa nilipo badilisha na kuweka WINDOW 8 ndio imegoma sauti...
Aina ya desktop ni IMac6,1.
Natanguliza shukrani wana GT
Kabla ya hapo nilikuwa natumia UBUNTU sasa nilipo badilisha na kuweka WINDOW 8 ndio imegoma sauti...
Aina ya desktop ni IMac6,1.
Natanguliza shukrani wana GT