Msaada TBC Imenigomea kutoa sauti Sku ya 3, Natumia DSTV

Msaada TBC Imenigomea kutoa sauti Sku ya 3, Natumia DSTV

pozzyfaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
1,453
Reaction score
268
Jmani naombeni msaada TBC Imegoma kutoa sauti, Natumia DSTV. Kipindi chanyuma ilikua inatoa imegoma juzi leo cku ya 3. Ila station zingine sauti kama kawaida Cjajua TBC cjajua kuna tatizo gani. Msaada jamani
 
Msaada jamani ili tatizo ni kwangu tu ama kwa wote
 
Jaribu ku interchange zile cable zenye rangi itakuwa sawa
 
nimejaribu kaka kuchange cable akuna kitu, ila sehemu zingine sauti ipo kama star tv nazingine zote kasolo TBC imeingiliwa cjui na mdudu gani
 
Tega chanel inayozingua ,,,,,,nenda MENU.......nenda TV installation.....ingiza password 9949.....utapata audio output settings.....chagua inayotoa sauti.....mfano mono,strereo etc. accept changes ..then maliza.
 
Nilishapata hilo tatizo nilivyowapigia Customer care walinipa hayo maelekezo tatizo likaisha
 
Back
Top Bottom