Nikhil
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 361
- 120
wakuu natumia window 8 ya softNN kwenye desktop yangu ya hp. Natumia program ya nokia pc suite ila wakati nachomeka simu yangu ambayo ni nokia asha 200 ili ni tumie kama usb modem katika installations za drivers kuna errors ambazo ni mbili error ya port na error ya modem.
Wakuu naombeni msaada wenu kwa hili , Natanguliza shukrani!
Wakuu naombeni msaada wenu kwa hili , Natanguliza shukrani!