MSAADA: UBUNTU IMEGOMA KUTOA SAUTI, NINI TATIZO?

kokaumba

JF-Expert Member
Sep 12, 2016
394
174
Wakuu natumia window 10 na Ubuntu kwa pamoja,, window inatoa sauti nikiplay audio or video lakini Ubuntu haina sauti kabisa..tatizo nini...msaada wana jamvi
 
sudo alsamixer

Angalia hardware iliyojitokeza. Bofya F6 kuchagua nyingine. Ongeza sauti.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom