Prisoner of hope
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 2,440
- 2,575
Sisi si ni wazazi na kama bado hujawa mzazi utakuwa mzazi.
Hakuna mzazi anapenda kuona mwanae anaharibikiwa, anachezewa, anazalishwa na kuachwa!
Tufikirie maisha ya watoto wetu huko baadae, Je tunapenda yaje kuwa kama ambavyo tunawafanyia watoto wa wenzetu?! Jibu unalo..
Tusali sana, tujiombee kwenye safari hii ndefu ya maisha. Lakini kubwa sana tuwaombee watoto wetu, binti wanaokuwa na vijana pia.
Ni kweli uyasemayo!Ila inauma sana mzazi kuona kuwa amezaa binti mremboo ambaye amerithi shepu kutokana na asili yao (wahaya, wanyakyusa, wasukuma, wahehe, wangoni, wamatengo) halafu anajua kabisa huyu watu hawatamuoa sababu wanogopa alivyo mzuri sana wanaume wataona huyu ni wa starehe tuu na show off hata kama huyo binti atalelewa kwenye maadili ya dini na adabu na heshima zote za kike.
Mi naendele kusimamia kauli yangu: YAWAPASA WANAUME KUJIAMINI JUU YA MKE WANAEMUOA NA SI KUWAZA HUYU MKE NTAOLEA WASHKAJI....
Laah wanawake wazuri na ambao wana asili ya uzuri wa sura na mashepu msizae maana uzao wenu utaishia kuchezewa tuu. Na wanawake wabaya wote na shapeless ndo wazae maana looh sio kwa unyanyapaa huu.
Hao mabinti wawili hapo juu ni kama mapacha wamefanana mnoo ni waremboo, ukikuta wanatabia njema hakuna mwanaume ambae hatawatamani ila kwa HOFU ya wanaume wengi watasema huyu ntachapiwa nikienda kazini.....
Eeeehh acha nisepe siko kundi lolote la waschana warembo wala la walioolewa, nimejikuta tuu naongea kwa sauti.
Inanisikitisha, jana rafiki yangu kamkamata binti yake aliye form two na simu (I phone) ya bei kali, kanunuliwa na mwanaume! Laini kweny hiyo simu imesajiliwa kwa jina la huyo mwanaume......Inatia aibu na kinyaa. Nimetoka kituo cha polisi kumsindikiza rafiki yangu ili huyu mtu akamatwe!Sisi si ni wazazi na kama bado hujawa mzazi utakuwa mzazi.
Hakuna mzazi anapenda kuona mwanae anaharibikiwa, anachezewa, anazalishwa na kuachwa!
Tufikirie maisha ya watoto wetu huko baadae, Je tunapenda yaje kuwa kama ambavyo tunawafanyia watoto wa wenzetu?! Jibu unalo..
Tusali sana, tujiombee kwenye safari hii ndefu ya maisha. Lakini kubwa sana tuwaombee watoto wetu, binti wanaokuwa na vijana pia.
Ni 10 over %.Watu hufikiri kila binti mzuri hajatulia hii perception imeathiri wengi hata mabinti wazuri waliotulia. Sababu kijana kichwani kwake anakuwa ameshajiwekea hiyo dhana.Ukiangalia wengine ni kawaida na hawajatulia kabisa. Unaweza kupoteza bahati kutokana na perception binafsi. Wapo mabinti wazuri na waliolelewa vizuri.
Umesahau qualification mpya
DEGREE mke lazima awe na degree
Exactly, TABIA ndio kila kitu.Tatizo sio uzuri au elimu
Tatizo ni tabia za vijana wenyewe both gender,kuna step ukizicheza vizuri in your twenties huna haja ya kuogopa kama ni msichana mrembo ni vizuri lakini urembo tu hautoshi tabia jamani tabia [emoji27]
Wapo wadada wazuri tu na shape nzuri elimu nzuri na wameolewa mimi nalia na tabia tu
Ila inauma sana mzazi kuona kuwa amezaa binti mremboo ambaye amerithi shepu kutokana na asili yao (wahaya, wanyakyusa, wasukuma, wahehe, wangoni, wamatengo) halafu anajua kabisa huyu watu hawatamuoa sababu wanogopa alivyo mzuri sana wanaume wataona huyu ni wa starehe tuu na show off hata kama huyo binti atalelewa kwenye maadili ya dini na adabu na heshima zote za kike.
Mi naendele kusimamia kauli yangu: YAWAPASA WANAUME KUJIAMINI JUU YA MKE WANAEMUOA NA SI KUWAZA HUYU MKE NTAOLEA WASHKAJI....
Laah wanawake wazuri na ambao wana asili ya uzuri wa sura na mashepu msizae maana uzao wenu utaishia kuchezewa tuu. Na wanawake wabaya wote na shapeless ndo wazae maana looh sio kwa unyanyapaa huu.
Hao mabinti wawili hapo juu ni kama mapacha wamefanana mnoo ni waremboo, ukikuta wanatabia njema hakuna mwanaume ambae hatawatamani ila kwa HOFU ya wanaume wengi watasema huyu ntachapiwa nikienda kazini.....
Eeeehh acha nisepe siko kundi lolote la waschana warembo wala la walioolewa, nimejikuta tuu naongea kwa sauti.
Inaumaa sana jamani! Huyo ni mwanaume ambaye anategemea watoto wake baadae wasome na wafanikiwe!Inanisikitisha, jana rafiki yangu kamkamata binti yake aliye form two na simu (I phone) ya bei kali, kanunuliwa na mwanaume! Laini kweny hiyo simu imesajiliwa kwa jina la huyo mwanaume......Inatia aibu na kinyaa. Nimetoka kituo cha polisi kumsindikiza rafiki yangu ili huyu mtu akamatwe!
Ndo maana nikasema tuwaombee watoto wetu, ukishakumbuka kumuombea naamini malezi nayo hayawezi kuyumba!Tatizo linaanzia kwenye malezi madam Sakayo.
Hayo yanayowatokee mabinti zetu leo hii, ni matokeo tu ya malezi yetu kama wazazi. Kwa kweli wazazi nowadays tunajisahau kabisa, tupo so poor kwenye suala la malezi.....sijui ndio utandawazi wenyewe au lah?!!
Lea uwezavyo,fuga utakavyo,kijana/binti akisha kutana (ushahidi ninao) na wenzie huko kwenye makundi yao husahau mafundisho yote. Tutalaumiwa sana wazazi, watoto wetu wanapambana na utandawazi, hawataki kupitwa na chochote.Tatizo linaanzia kwenye malezi madam Sakayo.
Hayo yanayowatokee mabinti zetu leo hii, ni matokeo tu ya malezi yetu kama wazazi. Kwa kweli wazazi nowadays tunajisahau kabisa, tupo so poor kwenye suala la malezi.....sijui ndio utandawazi wenyewe au lah?!!
Kuoa demu mzuri ni sawa na kupanda miwa karibu na shule ya msingi......sintothubutu...takufa kwa pressure waache tuwachezee mpaka giza liwaingie
Amen.Ndo maana nikasema tuwaombee watoto wetu, ukishakumbuka kumuombea naamini malezi nayo hayawezi kuyumba!
Lea uwezavyo,fuga utakavyo,kijana/binti akisha kutana (ushahidi ninao) na wenzie huko kwenye makundi yao husahau mafundisho yote. Tutalaumiwa sana wazazi, watoto wetu wanapambana na utandawazi, hawataki kupitwa na chochote.
Tusimame kwenye imani zetu, kwenye mafundisho tusisitize kuwa na hofu ya Mungu.
Kuna moto mkubwa umewashwa viwanja vya Mnazi Mmoja, wahi mtoto mzuri ukaote uondoe hiyo baaridi. Wauza kahawa pia hawako mbali na huo moto. Ukiona bado baridi haitoki piga push up 300 kwa interval ya mia mia.
Vikigoma vyote kamatia mwandani wako ukimbie umbali wa kilomita 21 bila kupumzika.
Afu una unakua na radha za 20s acha zako basi
Afu una unakua na radha za 20s acha zako basi
Dans le vin il y a de la sagesse dans l'eau il y a de la vie.....
en el vino hay despues en el agua hay vida...
Afu una unakua na radha za 20s acha zako basi
vrai madame
verdadera señora