I'm too old to be dumped

acha anyooshwe
 
Ni uswahili tu unakuwa hauwezi fichika, mtoto wa kishua anaona kawaida tu af wengi wako real kama amekuelewa hutatumia nguvu nyingi.
 
Kwenye 10 yupo mmoja au hakuna kabisa. Bitter truth
 
Mimi kama mzazi nina majukumu yangu kwa mwanangu. Majukumu yangu hayajumuishi kumuaminisha kua ndoa ni kila kitu maishani, hayajumuishi kumfundisha kua mapenzi ni kila kitu.

Nataka aiangalie dunia katika mtindo wake yeye kama yeye huku akirelate na jamii yetu. Nataka kwamba if ad nigga dumps her she wont be on her knees pleading for mercy na sio kumlamba lamba mtu miguu ati kisa kuna ndoa.
 
point yako mkuu iko wapi?
 
Msikariri maisha, kuna wanawake wabaya na wana tabia mbaya, vile vile kuna wanawake wazuri na wana tabia nzuri, hakuna tabia ambayo inafanana kwa watu wote wa aina fulani.
 
NB: Chukueni yale mazuri tu mabaya achaneni nayo, JF siyo kila kitu cha kuchukulia serious.
Sure si kila kitu humu JF ni chakuweka kichwani, kikubwa humu ni kujifunza namna ya kuishi na watu kupitia mawazo yao. JF watu hufunguka sana kuhusu maisha yao, kufunguka kwao ki Mawazo na mikasa mbali mbali kuna tupa somo sisi vijana kwa namna moja.
 
Sure si kila kitu humu JF ni chakuweka kichwani, kikubwa humu ni kujifunza namna ya kuishi na watu kupitia mawazo yao. JF watu hufunguka sana kuhusu maisha yao, kufunguka kwao ki Mawazo na mikasa mbali mbali kuna tupa somo sisi vijana kwa namna moja.
Hakika Mkuu
 

Tatizo sio uzuri au elimu
Tatizo ni tabia za vijana wenyewe both gender,kuna step ukizicheza vizuri in your twenties huna haja ya kuogopa kama ni msichana mrembo ni vizuri lakini urembo tu hautoshi tabia jamani tabia

Wapo wadada wazuri tu na shape nzuri elimu nzuri na wameolewa mimi nalia na tabia tu
 

Kwa sample space ipi umetumia hapo mkuu
 

Kuna maisha zaidi ya ndoa,mabinti wafundishwe haya
Mwanaume anaempenda kama Baba anavyompenda ndio anastahili nafasi hio,mtoto wa kike akipata upendo wa kutosha kutoka kwa baba hakuna mtu huko mtaani atamzuzua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…