Malezi yanachangia piaKuna wanaume wagumu san kuomba msahama na km wakiomba wanaomba kwa mazoea sio kujutia kosa na kujirekebisha ilo hawana inafkia hatua unabaki kumuanglia tu ata akosee afanyaje mim siuliz mtu maisha yanaendlea coz unachokaa
Ni maneno machache, siwez kukiongea.Oouh sijui kispanish aseeh
Pole. Utanifundisha basi
Malezi wapii mwanzo wa penzi mbn wanaweza kosa mmzoeane tu utasikia yaisha bhana tena unaambiwa kiukali wakt mwingne sio mazoea ni ubabe tu wa kipuuziMalezi yanachangia pia
Jimbo lipo wazi? Toa fomu basiSijapata wa kumkosea eti...
Na nyie mnakuwaga na tatizo moja ngoja nikuambie. Mkishamzoeshwa kitu kamwe hamwezi mnachukulia ndivyo tunatakiwa tuwafanyie kila sikuMalezi wapii mwanzo wa penzi mbn wanaweza kosa mmzoeane tu utasikia yaisha bhana tena unaambiwa kiukali wakt mwingne sio mazoea ni ubabe tu wa kipuuzi
Kwa hiyo unaenda na masaa ya Israel sio watu kwa fursa nyie...
CEO sijamuona siku ya tatu leo isije ikawa alikufa na yesu bwana
Aaaa babu bado bado ngoja Nile ujana kwanza!!!![emoji4]Wewe ngoja tukuozeshe haraka kabisa maana unakoelekea sio
Sijambo vipi kwemaaaHujambo??? Jov
Alfu sumbai unajua nilikuwa najua wewe nimwana.ke[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hujambo??? Jov
Nani kakwambiaa[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Aiseee akisha kwambia hivyo Basi moyo unasuuzika kabisa
Ya China ndiyo ipiYa China haipo???
Mbona wataka kuniletea ugomvi na sweet mangii wangu, na pasaka hii jamani.... Mwisho iwe chunguMentor kaka yangu yule halafu unafikir kwanini nakupungiaga tu
Kuna watu kapotea nao humu siwaoni hata nikiwatag hawaitiki sijui