Oouh nikajua yameshakufika mdomoni.Hahaa nimetoa tu mfano. Sie tunaombana tu msamaha. Maana mie kunigeuzia kesi inabidi ujipange teh
Hahaa sorry inazidi kwa sababu makosa yamezidi. Sasa makosa yakizidi sema tu sorry, au utajikausha? Maana kama unarudia the same mistake over and over , hata ukisema sorry haimake sense jamaniOouh nikajua yameshakufika mdomoni.
Kuomba msamaha ni kuzuri saana hasa unapokuwa umemkosea mwenzako. Sema na ikizidi hiyo I'm sorry inaboa
Hii ya nani hii?
Simaanisha hivyo mimi...Hahaa sorry inazidi kwa sababu makosa yamezidi. Sasa makosa yakizidi sema tu sorry, au utajikausha? Maana kama unarudia the same mistake over and over , hata ukisema sorry haimake sense jamani
Hizi baraka hizi yaani comment yako ya kwanza umeianzia hapa mkuu
Haha ukifika unaanza kujichekesha "Yani nimekutana na fulani bana, tukaanza kupiga story hadi nimechelewa". Of coz kuna muda mnaweza kuangaliana tu mkaishia kuchekaSimaanisha hivyo mimi...
Namanisha sio kila kosa la kumfuata mpenzi wako kama kwenye uzi na kujishusha chini nakuanza kuomba msamaha.
Mfano eti mwanaume umechelewa kurudi nyumbani..uombe msamaha kweli? Neno I'm sorry lisitumike kwa kila kosa mwisho litaonekana ni neno la kawaida hata ukimwambia mwenzako anaona ndiyo yale yale tu
Pia inategemea na aina ya watu.. mimi kama najua nimekosa mbona hadi utasahau maana utachekaa weee kuja kushangaaa tupo kitandani tumelala [emoji16]Haha ukifika unaanza kujichekesha "Yani nimekutana na fulani bana, tukaanza kupiga story hadi nimechelewa". Of coz kuna muda mnaweza kuangaliana tu mkaishia kucheka
AsanteGracious.
Hahaha... mzee unapenda show hausubir hata yesu afufuke