I'm so low nifariji


Pole sana mpenzi, Mungu akutie nguvu katika hili pia. Kwanza hongera kwa maamuzi mema uliyoyafanya,lea mimba yako mama,trust me,it's the best decision you will make in your life! Kwa sasa unaweza ona kama ni maamuzi magumu sana na sintofahamu nyingi zimegubika mawazo yako ila hakuna kisichowezekana chini ya jua. Piga moyo konde na anza maisha yako na ya mwanao upya. If you ever need a friend,i am here for you love.
 

asante kwa kukubali kuwa karibu nami katika kitendawili hiki. niombee mpendwa.
 
Nili guess hata kabla hujafunguka. Mh nyie wadada nyie! Pole lakini.
 
pole kwa magumu unayopitia, ila tambua wewe si wa kwanza kufikwa na hayo na wala hautakuwa wa mwisho. ingawa ni kipindi kigumu naamini kitapita na furaha itarejea kwako, kama ilivyorejea kwa wengine. Cha msingi usikate tamaa na jipe matumaini! na usimame katika kile unachokiamini!
 
pole, cha miezi 2 bado kinadlsumbua hicho.
 
Pole ,,,,,,,

nakuombea project mpya ije na upate kibarua cha kukuwezesha kujikimu......
 

when you feel down, just remember that you are the sperm that won..
 
Drop fast as possible ghetto kwangu nikufariji kibebi changu jama.
 
Pole sana,ndio maana ya maisha,mapito magumu kama hayo ndio yanakamilisha mantiki nzima ya maisha.

Mimi naomba niwe tofauti kidogo na wengine lakini nia na dhumuni ni kutaka ujue what u will face after your decision of keeping the pregnancy.Simlaumu huyo shemej yetu sababu kibinadamu hakuna mwanaume ambaye hatokuwa frustrated kwenye situation hiyo,hata hawa wanaomponda humu wote lazima wange panic,na wanamlaani sababu hawajawahi kukutwa na hilo swala.I have been there so najua but I thank God I came to my senses nikaanza kuwa responsible for the pregnancy na ilikuwa faraja sana alipozaliwa.Shemeji ni uoga tu huo baada ya muda akili zitamrudi atakuja mlee wote ujauzito as long as ni mtu mwema kweli maana kuna wengine hawana mioyo ya utu.

Kujitunza kipindi cha ujauzito considering wazazi wako mbali na probably unaishi peke yako si kazi nyepesi,leo watu wanakupa moyo hapa ila jua kuwa kuna changamoto nyingi zinakuja hivyo ujipange kiroho na kimwili kuhakikisha hakuna kitakukatisha tamaa.Muhusika anaweza akakupotezea milele au anaweza kurudi akalea lkn akaja kuoa mwanamke mwingine,ndio wanaume tulivyo lakini whatever the case kumbuka kuwa Hakuna faraja kubwa hapa duniani kama faraja anayoileta mtoto katika maisha yako,so kila utakapopatwa na ugumu kumbuka hilo.

May God's blessings be with you and the spirit of senses be upon him.This is the most touching thread I ever came across
 

pole sana, kijana mhuni tu huyo. Jitahidi kulea tu, ukishajifungua kama kweli ni yake ipo siku ataona thamani ya huyo mtoto. Wala usihangaike kumpigia sim kwa wakati huu, atakushawishi na kujikuta nawe umeshaingia hatiani ya kuua kiumbe kisicho na hatia.
 
asante kwa kukubali kuwa karibu nami katika kitendawili hiki. niombee mpendwa.

May God give you friends to love and support you during this period and the life to come.
 

Attachments

  • Dear Lord.jpg
    58.7 KB · Views: 113

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…