Pole sana.
Polee ndo maisha ..bila kuijua hatuwezi thamini shibe
Nishirikishe nikupe faraja ya mwili na roho....
Nishirikishe nikupe faraja ya mwili na roho....
Ndugu ninapitia wakati mgumu sana kimwili na kiroho. nina mimba ya miezi 2 lakini mhusika amenitelekeza kwasababu nimekataa kuitoa eti hako tayari kulea mtoto kwa sasa. ameapa nikiamua kulea mimba hii basi nisimjue na kweli amekata mawasiliano hadi hapo nitakapokuwa tayari kutoa nimpigie. nimekubali kuilea japo sijajua nitaileaje. kazi ninafanya ya kibarua mahali ambapo wananiita wakati wakiwa na project. wazazi wako kijijini hawajiwezi.
Sema kinakusibu nini bibie! Tua zigo hilo la mawazo litakudhuru! Talking it openly itakusaidia kupunguza msongo wa mawazo!