Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
ladyfurahia,
Kukimbia tatizo si kulitatua tatizo. Unahitaji mtu wa kuongea naye...unajua pa kunipata!!!
Asprin, Nicas Mtei, Kaizer, Vin Diesel - msipite hapa!
Ulifanya kosa gani? Njoo nikufanyie maombi. Uje without.
cc Nicas Mtei, Mentor Mtambuzi. Kwa taarifa.
Shimbony shafoo Palooo....
ladyfurahia,
Kukimbia tatizo si kulitatua tatizo. Unahitaji mtu wa kuongea naye...unajua pa kunipata!!!
Asprin, Nicas Mtei, Kaizer, Vin Diesel - msipite hapa!
beib tusimuhukumu ladyfurahia kwa hayo aliyofanya kwa kuwa ameshaomba msamaha.. Muhimu ni kujaribu kumsaidia maana ninaona anapita kwenye kipindi kigumu sana kwake.. Ombi langu kwake ni afunguke itamsaidia kupunguza burden..
Nyie mwajuana kitambo sana....kwa ladyfurahia sina la kusema mkuu
mbony shafooo asprooo...........
mie zangu popcorn na azam kola....mguu juu ya ottoman!!!
Nyie mwajuana kitambo sana....kwa ladyfurahia sina la kusema mkuu
Kweli kabisa mkuu. Huu msamaha unaoombwa hapa una mkona wa either Mentor au Mtambuzi.
Nicas Mtei, please note.
Shemeji yako huyo ohooo..
Hahahah na unavopenda umbea....
Kweli kabisa mkuu. Huu msamaha unaoombwa hapa una mkona wa either Mentor au Mtambuzi.
Nicas Mtei, please note.
katika umbea huu nao ni umbea basi?!?!?! hii nimeshindwa kuipa jina!!!
ila hili si ni jukwaa la chit chat? so na nyuzi ni za ki-chit chat? kwa hiyo uzi wa tanzia ni chitchat na uzi wa msamaha ni chitchat!!! hata msaada utakuwa wa kichitchat!!!
khaa ngoja nisepe zangu!!!!
weee Vin Diesel nakuita kuleee............ambako hakuna uchitchat!
nini kinaendelea hapa...?