Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,684
- Thread starter
-
- #201
Mrusi wa watu kalala saa hizi, mwache apumzike.
Mi Ivuga tangu kawa Saint(mtakatifu) wala hatuzungumzi, nakuambia,usijione mjanja Kloro,ujanja hautangazwi....unatendwa....lol
Baelezee Michelle. Hawa watu wanajifanya wajanja sana... lol
hahahaha... unajua Michelle na mimi ni mapacha? careful...
huyu kloro sijui atakuwa wa wapi..bagamoyo sijui au kwetu Tanga"bombo"
hahah kweli JF kiboko kumbe mtu unamuona maneno miiingi na makelele kibao na makofi mda wote anashangilia lakni background yake ukipewa lazima uwe hoi.Nishampa dozi yake....analeta u-gentleman mjini na u-lawyer?? ujanja nimemfundisha mimi,akapata tu-hela twake kidogo twa msimu akabadilika ndo huyo mara ajitolee vitenge vya kampeni,mara sijui ofa za bia.....namuangalia namkumbuka na kandambili zake alipowasili tukaenda mpokea Kisutu enzi hizo!
Mi Ivuga tangu kawa Saint(mtakatifu) wala hatuzungumzi, nakuambia,usijione mjanja Kloro,ujanja hautangazwi....unatendwa....lol
Eeeh Mungu jaalia keren happuch asisome hii.Nishampa dozi yake....analeta u-gentleman mjini na u-lawyer?? ujanja nimemfundisha mimi,akapata tu-hela twake kidogo twa msimu akabadilika ndo huyo mara ajitolee vitenge vya kampeni,mara sijui ofa za bia.....namuangalia namkumbuka na kandambili zake alipowasili tukaenda mpokea Kisutu enzi hizo!
Atoke Tanga au Bagamoyo sehemu wakoloni walileta ustaarabu kidogo St Ivuga?....morogoro hapo ndani ndani...acha nisiseme zaidi
hapo red inatamkwaje?Atoke Tanga au Bagamoyo sehemu wakoloni walileta ustaarabu kidogo St Ivuga?....morogoro hapo ndani ndani...acha nisiseme zaidi
sio hivyo michelle mi nipo kwenye maombi nataka urudi second term pale white house...si unajua nataka nijipendekeze naona kale ka first born kanapanda kama uyoga
JF usanii mtupu, mi nimemvumilia sana Kloro,lakini sasa naona analeta dharau...usitukane wakunga na uzazi ungalipo Kloro!hahah kweli JF kiboko kumbe mtu unamuona maneno miiingi na makelele kibao na makofi mda wote anashangilia lakni background yake ukipewa lazima uwe hoi.
Atasoma tu,namtumia PM yenye attachment ya hii thread na hii page!Eeeh Mungu jaalia keren happuch asisome hii.
CV yote ya lawyer kushnei
Nina picha kabisa mkuu, yaani alikuja kavaa kaptula imetoboka sehemu fulani halafu hajali as if huko alikotokea hawavai nguo kabisa,kumnyang'anya ile kaptula ilikuwa vita.....acha niishie hapo,nitaweka picha zake akileta za kuletabaasi usimalizie kusema.asije akakimbia. kwa hiyo watu walifanya kumfuata kisutu ..dah sipati picha alikuwa amepika mapigo gani. unayakumbuka vizuri? hahahha hajaja na redio kweli?
hahahahaha, hata sitaki kuingia hii discussion.
Ivuga naenda kulala, Usiku mwema. Michelle usiku mwema, umenifungua macho.
Klorokwini, who is Karen kwako? Uncle, usiku mwema, msalimie Anti.
Mwambie nilimtafuta nimuage nikamkosa. Nimerudi campus this afternoon.
hapo red inatamkwaje?
Ufafanuzi wa keren utakuja CV ikiludi katika hali yake ya kawaida, hapa CV inaread minus 20hahahahaha, hata sitaki kuingia hii discussion.
Ivuga naenda kulala, Usiku mwema. Michelle usiku mwema, umenifungua macho.
Klorokwini, who is Karen kwako? Uncle, usiku mwema, msalimie Anti.
Mwambie nilimtafuta nimuage nikamkosa. Nimerudi campus this afternoon.
hahahahaha, hata sitaki kuingia hii discussion.
Ivuga naenda kulala, Usiku mwema. Michelle usiku mwema, umenifungua macho.
Klorokwini, who is Karen kwako? Uncle, usiku mwema, msalimie Anti.
Mwambie nilimtafuta nimuage nikamkosa. Nimerudi campus this afternoon.
ayaaaaaaa..kuuumbe hakukuambia ?hahahahaha, hata sitaki kuingia hii discussion.
Ivuga naenda kulala, Usiku mwema. Michelle usiku mwema, umenifungua macho.
Klorokwini, who is Karen kwako? Uncle, usiku mwema, msalimie Anti.
Mwambie nilimtafuta nimuage nikamkosa. Nimerudi campus this afternoon.
Yaani mimi wa ifakara , khaaa! halaf nilikuja na kanda mbili.....lahaulaKl-o-ro-kw-in
ayaaaaaaa..kuuumbe hakukuambia ?