I'm not happy with my life

I'm not happy with my life

Punguza kulalamika,nyuzi zako nyingi ni kulalamika tu,
Kulalamika hakuwezi kuibadili hali yako,mabadiliko yanaanza na wewe mwenyewe kwa kubadili fikra zako,

Dunia haina huruma,Dunia ya leo inataka ubishi na ujasiri wa kupambana,
Hizi pole utakazo pewa hapa haziwezi kubadili chochote,

Mama yako aliplay part yake,now it's your turn,
Maisha ni yako,pambana kivyako,life is very short,acha kuishi kinyonge.
Yeah, na sio kila mtu humu anaenjoy maisha pengine kuna watu wana magumu kuzidi unavyowaza, unafikiri wao hawakuzaliwa? Unakuta tena wakiingia humu ndo wanapooza machungu au kupata ahueni na wanayopitia! Ni vile sio kila mtu tu anapenda kulalamika au kuyasema!

Umeanguka amka, jikung’ute endelea na safari!
 
Pole Ila ONDOKA hapo ulipo hata miaka 10

Na achana na kutumia mitandao with no benefits hizi post za kulalamika ungekuwa unapost biashara usingepata mteja. Hata mmoja




Nenda mbali Sana na kitu kinaitwa familia .

Ukitaka kufa mapema na kwa pressure endelea kuongelea so called relatives a lot of them ni Maza faka .
 
Ukitaka kupiga hatua kaa mbali na ndugu haijalishi ni Baba au mama kaka ua dada fanya hivyo miaka 10 then urudi hapa utaona mabadiliko


Then zigeuze changamoto ziwe fursa kwakuwa ukiwa yatima means Una nafasi kubwa ya Ku win kwakuwa hela utakayopata hautakuwa unamtumia mama

So every challenges ni opportunity .

Kuna watu wana mama na baba na wamewalea Ila hawajafanikiwa .

Haimaniishi mama yako if she could be alive unge fucky odds .no .

Life inahitaji akili na Ku play smart nigger .

Kikubwa hakikisha hauongii 30s bila kuwa na uhakika wa piece of pie .
 
Nimesoma kwa uchungu na masikitiko makubwa sana, ukweli sisi wanaume ni wenye roho mbaya hasa kwa watoto wetu, ukweli katika familia wanaume wengi huwa wanapenda mbunye kuliko watoto wao, sasa ikitokea kaoa mama wa kambo ndo imeisha hiyo.
 
Pole sana,
kwanza wasamehe Wote hao unaowalaumu,umebeba mzigo wa chuki na maumivu moyoni mwako ndio maana huoni mema yaliyo mbele yako.
Kama unaweza funga hata Siku 3 tu,maombi yako yawe kutangaza msamaha wa dhati kwa wote waliokuudhi na pia omba Mungu pia akusamehe na wewe kwa kuwalaumu kuwachukia hao.
Siku ya mwisho omba Mungu akupe nguvu ya kuendelea mbele kwa neema yake.
Mungu hakusema kwamba hatutapita katika magumu ila alisema alisema atakua nasi katika yote hayo:
Hebu soma huu wimbo utapata kitu;

The Martins:The Promise
I never said that I would give you silver or gold
Or that you would never feel the fire or shiver in the cold
But I did say you’d never walk thru this world alone
And I did say don’t make this world your home
I
never said that fear wouldn’t find you in the night
Or that loneliness was something you’d never have to fight
But I did say I’d be right there by your side
And I did say I’ll always help you fight

‘Cause you know I made a promise that I intend to keep
My grace will be sufficient in your time of need
My love will be the anchor that you can hold on to
This is the promise, this is the promise I’ve made to you

I never said that friends would never turn their backs on you
Or that the world around you wouldn’t see you as a fool
But I did say like me you’ll surely be despised
And I did say My ways confound the wise

I didn’t say you’d never taste the bitter kiss of death
Or have to walk thru chilly Jordan to enter into rest
But I did say I’d be waiting right on the other side
And I did say I’ll dry every tear you’ve cried

‘Cause you know I made a promise that I’ve prepared a place
And someday sooner than you think you’ll see me face to face
And you’ll sing with the angels and a countless multitude
This is the promise, this is the promise I’ve made to you

So just keep on walking don’t turn to the left or right
And in the midst of darkness let this be your light
That hell can’t separate us and you’re gonna make it thru
This is the promise, this is the promise I’ve made to you
Oh, this is the promise, this is the promise I’ve made to you

View: https://youtu.be/qWwOaeS8dXs?si=esCpMZ2aFfGmcvBw

Mungu akusaidie
 
Pole Ila ONDOKA hapo ulipo hata miaka 10

Na achana na kutumia mitandao with no benefits .

Nenda mbali Sana na kitu kinaitwa familia .

Ukitaka kufa mapema na kwa pressure endelea kuongelea so called relatives a lot of them ni Maza faka .
Uko sahihi sana bro, afate ushauri huu! Funga roho tafuta maisha kijana! Or else Shaking a baobab tree U end up shaking ur buttocks and this aint about shaking his/her butts..

Means When you take on something too big or beyond your strength, you might end up embarrassing yourself..

Nimeamka na ushauri sana leo😅 take it or leave it! Up to you🙂
 
Uko sahihi sana bro, afate ushauri huu! Funga roho tafuta maisha kijana! Or else Shaking a baobab tree U end up shaking ur buttocks and this aint about shaking his/her butts..

Means When you take on something too big or beyond your strength, you might end up embarrassing yourself..

Nimeamka na ushauri sana leo😅 take it or leave it! Up to you🙂
Yes mkuu . 100%
 
Uko sahihi sana bro, afate ushauri huu! Funga roho tafuta maisha kijana! Or else Shaking a baobab tree U end up shaking ur buttocks and this aint about shaking his/her butts..

Means When you take on something too big or beyond your strength, you might end up embarrassing yourself..

Nimeamka na ushauri sana leo😅 take it or leave it! Up to you🙂
Huu msemo nimeupenda!!
 
Yeah, na sio kila mtu humu anaenjoy maisha pengine kuna watu wana magumu kuzidi unavyowaza, unafikiri wao hawakuzaliwa? Unakuta tena wakiingia humu ndo wanapooza machungu au kupata ahueni na wanayopitia! Ni vile sio kila mtu tu anapenda kulalamika au kuyasema!

Umeanguka amka, kikung’ute endelea na safari!
Mleta mada ni sawa na baadhi ya nchi za Afrika kulalamika kua,wao ni masikini coz nchi zao zilitawaliwa na wakoloni!

Mfano China ilitawaliwa na Japan ila China hawakukaa na kulalamika bali waliamka na kuanza kujenga nchi yao,

Kulalamika na kuplay as a victim is to avoid responsibility or gain sympathy,people who do this often seek attention or emotion gain by making others feel guilty or responsible for their situation.
 
Haturudi nyuma Eve, yani life litazidi kuwa tough. Fikiria hawa watoto wanaomaliza vyuo kila siku na hawajui waende wapi, baada ya miaka kumi hali itakuwaje!!

Mkuu huo ni udhaifu kuandaa mtoto aje aajiriwe may be ikiwa wewe ni mtu wa kuunga unga kama Mimi .

Wazee wetu zamani unafikiri wametulea vipi na hawakuwa wasomi

Tuwekeze ktk mashamba mifugo na apartment sifikirii Kama zama hizi unazaa mtoto ilimradi
 
Sijui ni lini na mimi ntakuwa na furaha maishani, Furaha yangu ilitoweka pasipo kujua baada ya kumpoteza mama yangu miaka mingi iliyopita nikiwa bado mdogo sana.

Maisha niliyopitia kutoka kwa ndugu, mama wa kambo pamoja na baba asiyejali yananipa hasira sana, sijui hata nimlaumu nani kuzaliwa kwenye hii familia, huu ukoo na huyu mzazi ambaye hakutaka kabisa kusimamia nafasi yake na kutimiza majukumu yake ya malezi ipasavyo kwetu sisi watoto wake.

Natamani kama kungekuwa kuna Dunia nyingine ambayo haitakuwa na binadamu niende nikaishi huko nipotelee nisionekane na mtu yoyote kila mtu asahau kuhusu mimi.

R.I.P mom ulikuwa mpambanaji ukahakikisha kaka amesoma na amemaliza chuo kupitia ujasiriamali wako mdogo mdogo uliokuwa ukifanya, matokeo yake huyu kaka uliyempambania leo hii hakumbuki wadogo zake ametuacha tuteseke peke yetu, hata leo hii simu zake hazipatikani amekuwa addicted na pombe hadi anashindwa kufanya kazi yake kwa ufanisi.

Pengine ungekuwepo mom nisingepita nilikopita ungenifundisha vingi vizuri na imani pia ungenipambania, wala usingeniacha niteseke kama alivyofanya baba. Nasikitika sana kwanini umeondoka nikiwa bado mdogo, bado nakuhitaji mama yangu😭😭

Kwanini Mungu ameruhusu hili litokee kwangu, kuna muda huwa najiuliza hivi Mungu huwa anaona mateso na matatizo yetu tunayopitia sisi wanadamu, huwa namlaumu sana Mungu kuniondolea mama yangu kipenzi nikiwa mdogo, namlaumu pia kuruhusu mateso yawe sehemu ya maisha yangu, kunipa baba asiyejali watoto wake.

Ninahisi kumchukia baba yangu, hata akinipigia simu sifurahii kabisa, hata kwenda kumsalimia hadi anikumbushe au tu hiyo siku nijisikie mwenyewe. Lakini nimemsamehe kwa yote aliyoyafanya maishani mwangu japo moyoni mwangu naumia sana kila nikiyafikiria maisha yangu yaliyopita.

Natamani hata wakati ule mama yangu angebaki ningetanguliaga mimi, najitahidi kuwa na furaha lakini nikikaa mwenyewe furaha yote inatoweka.

Nawezaje kuondokana na haya maumivu yaliombatana na chuki kwa ndugu zangu?
Umeweza kujitegemea? Au bado u tegemezi?
 
Unapomchukia ntu, unaumia zaidi wewe sadly, unatakiwa kujua na kuforce mind yako ikubali kwamba ulitakiwa kuja duniani na kuishi kwa furaha, ila kuja kupitia wapi hukua na choice so honor your life and presence. Ungakuwa na uwezo wa kuchagua ungezaliwa kwingine like France, UK, SA, Namibia same as familia ingine yoyote duniani. Kama unaamini kwnye dini jua tu hapo ulipozaliwa ndipo universe/Mungu alitaka na cha kwanza ili ufanikiwe njia zako unatakiwa kuilazimisha roho yako kuappreciate na kukubali hamna kosa kwa yoyote anayekuhusu ila ilipangwa na Mungu alikujua kabla hujazaliwa so gratitude itafanya wonders kwenye njia zako kama utaipokea!
 
Back
Top Bottom