I'm new here | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

I'm new here

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by Jammu Africa, Jan 3, 2010.

 1. Jammu Africa

  Jammu Africa JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 530
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  I just got into this site not knowing it was Tanzanian but said all the same,

  you're neighbors na ndugu zetu. Mimi ni mkenya na niko Kenya.Kwaherini.
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Jan 3, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  Jammu Africa;I just got into this site not knowing it was Tanzanian but said all the same,
  you're neighbors na ndugu zetu. Mimi ni mkenya na niko Kenya.Kwaherini.


  ni aje mazee, na ndio ukaribiange kabisa venye ile inakuwanga i know utacope na situation
   
 3. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #3
  Jan 3, 2010
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hi you are most welcome with hope that you will come around with new ideas as we go back to our EAC with five countries. Welcome sir.
   
 4. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #4
  Jan 4, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Karibu sana jirani yetu.
   
 5. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #5
  Jan 4, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Karibu kama jasho la mtu laliwa.
   
 6. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #6
  Jan 4, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,619
  Likes Received: 4,604
  Trophy Points: 280
  Karibu JamiiForums.com (A Welcome Note)
  Tunafurahi umetutembelea. Ni faraja kuwa mwanachama wa bodi yetu. Heshimu uliowakuta kwenye bodi hii. Tunawaheshimu wanachama wetu na kuwapa thamani sawa.

  Tunatoa UHURU WA KUONGEA. Kama mada inakukuna au kukugusa kwa kiwango ambacho unaona lazima utoe majibu jisajili na kutoa ufafanuzi yakinifu.

  Ieleweke kuwa, Yaandikwayo hapa ni mawazo ya wateja wetu na si msimamo wa JamiiForums.com ama vinginevyo. Lugha za matusi hazitavumiliwa!

  Tutashukuru pale ukiona jambo baya ukatufahamisha tulifanyie marekebisho haraka kabla hujakashifu au kutoa lawama. Sisi ni binadamu na tuna mapungufu yetu.  SHERIA NA KANUNI ZA JAMII FORUMS

  Tafadhali jiepushe na mambo yafuatayo:

  1. Kumvunjia heshima, kumkejeli, kumtukana, mjumbe yeyote.

  2. Kuleta katika JAMII FORUMS maelezo yenye maudhui mabaya, au kuweza kuleta maudhi yoyote kwa wajumbe ama kwa wingi wake, ukubwa wake, au mfumo wake.

  3. Kuleta makala au kuendeleza mijadala yenye kuleta ugomvi,uchochezi na yenye muelekeo wa kutengenishana badala ya kuungana miongoni mwa wajumbe wa JAMII FORUMS na Watanzania wote kwa ujumla.

  4. Kusambaza kwa makusudi au kwa uzembe barua zenye virusi vya kompyuta.

  5. Kutoa maelezo au shutuma dhidi ya mwanachama mwenzako, kiongozi wa au watu wenye hadhi kijamii bila kuwa na ushahidi wa kutosha kwa lengo la kuchafua rekodi safi ya mhusika kijamii.

  6. Ni sharti kwa kila mwanachama kutoa maelezo au mchango wake kwa uwazi na ukweli na kutomuogopa yeyote wala kumpendelea yeyote bali kuweka mbele maslahi ya taifa.

  7. Kila mwanachama yupo huru kutoa maoni yake mradi yaliyotajwa hapo juu yanazingatiwa.

  Hatua za kinidhamu zinaweza kuchukuliwa dhidi ya yeyote yule atakayeshindwa kuzingatia maelezo hayo hapo juu.


  Other Rules to be noted:

  1 - Flaming, Bashing, and Trolling:
  Hate posts and personal attacks will not be tolerated on the boards. Treat others on these message boards as you would expect them to treat you. Posting topics specifically designed to provoke a negative response from someone (aka trolling) is also asked to be avoided.

  2 - Profanity:
  Profanity is not tolerated in the board, some words will be censored, also there is to be no name calling, doing so will give you a warning, and then a ban if you continue.

  3 - Spam:
  Purposely spamming a message board with senseless, vacuous, or empty messages to gain a higher post count, or just to annoy others is HIGHLY frowned upon! Commercial spamming and advertising are just as unwelcome unless it is done in the special designed area. Promoting your site is only allowed with permission of the site owners. Bumping old threads is allowed in the request forums, but needless bumps in other forums will be classed as spam.

  4 - Email & Private Message Spam:
  If the members are using the private message facility to spam the others with pointless, unsolicited mail they will be banned. If anyone receives one of these messages, please contact an admin immediately.

  5 - Piracy, and Warez:
  We do not mind discussions about piracy or warez, as long as they are just that...discussions. Linking or giving information about any site that distributes illegal software, or warez, seeking help to circumvent any copyright laws, or encouraging software or media piracy is grounds for an immediate ban.

  6 - Impersonating Other Users / Accessing Another User Account:
  You may not impersonate another board member or create an account specifically for the purpose of provoking other users. Also, accessing or using someone else's account or attempting to access another poster's account is strictly prohibited. You will be banned.

  7 - Off-Topic Posts:
  There is no major punishment for off-topic posters. But lets be honest, it drives us all mad!! If you have something to say but it really has nothing to do with the current thread you are in, please open a new thread for it. Otherwise it will just be deleted and won't solve anything at all.

  8 - Circumventing a Ban:
  If you log onto the forums and receive a message that you have been banned, please submit an unban request and wait for a staff member to get in touch with you. You may NOT re register under a new name if the software lets you. But, if you try to sign up again and we caught you, then it will become a permanent IP Ban. We do NOT send out notices that you have been banned.

  9 - Nudity / Porn:
  Please remember that this board is a PUBLIC forum. There are 12 year olds here just as there are 50 year olds. Nudity and porn is prohibited for obvious reasons.

  10 - Signatures & Avatars:
  We do not have any specific set of rules regarding signatures. However, we do ask you that it will not be offensive to others and the length should be within reason. If you desire to have a custom avatar, it must be 100x100 pixels or less. No adult, drug related or racist content please. After 5 posts you will be allowed to have an avatar.

  11 - Questionable Content:
  Since we can't have a rule to cover everything, this is the rule to, well, cover everything. These are public boards, so act like you would if you were in a public place. These issues are left to the discretion of the individual moderators, but may include any material that is knowingly false and or defamatory, misleading, inaccurate, abusive, vulgar, hateful, harassing, obscene, profane, sexually oriented, threatening, invasive of a person's privacy, that otherwise violates any law, or that encourages conduct constituting a criminal offense.

  JINSI YA KUCHANGIA JF Mkuu wangu

  Ukweli ni kuwa siku za nyuma tulijaribu sana kuwafahamisha members kuwa JF haiendeshwi kwa fedha za watu flani bali kwa kujitolea.

  Tukatanabaisha wazi kuwa wanachama na wote wenye mapenzi mema inabidi watambue kuwa tuna mzigo mkubwa wa kubeba kwa niaba yao.

  Nyakati hizo tulikuwa na wanachama waliojisajili karibia 2,000 hivi na tukasema endapo kila mwanachama (aliyejisajili) angechangia Tshs 10,000/= basi ilimaanisha kuwa tungepata Tshs 20,000,000/= ambayo kwa wakati huo ingetosheleza kuiendesha JF kwa karibia mwaka mzima bila wasiwasi.

  Maisha yakabadilika, Server tuliyokuwa nayo ilikuwa ndogo sana kumbe kulinganisha na uhitaji wa watanzania, balaa lilionekana wazi Mwezi Februari pale Mhe. Lowassa alipokuwa akijieleza Bungeni... Server ikachemsha kubeba mzigo mkubwa.

  Kwa wakati huo tukaona ni vema tukaangalia namna ya kuweza kuwashirikisha wanachama juu ya ugumu tunaokumbana nao... Tukalazimika kununua server kubwa zaidi mbili na zenye back up za kila baada ya masaa 6 kwa nyakati tofauti. Tukiwa na uwezo wa kufanya hosting hata BURE kwa website za watanzania.

  Hilo likasaidia japo kwa gharama ambazo zilitoka mfukoni mwa mwanachama mmoja! Ndiyo, kulipia server hizo kila mwezi ni karibia $900 na ameendelea kufanya hivyo kwa imani kuwa kuna siku mambo yataenda sawa.

  JF inahitaji SANA michango ya watanzania na wote wenye mapenzi mema.

  Kuna wanachama ambao humu mnawaona wana usernames ambazo ni bolded, hawa ni Premium Members. Hawa walau wamechangia kwa kiwango cha kuanzia $5 na wawili walau $300 tangu JF inaanzishwa mwaka 2006 (ikijulikana kama JamboForums).

  Tangu JF inaanza (2006) mpaka sasa, tumekwishapokea jumla ya US$ 1,450/= toka kwa wanachama waliojisajili na wasiojisajili.

  Wengi wa waliohitaji kuchangia walikuwa wanatuma barua pepe nasi tunawapa maelekezo juu ya namna ya kutufikishia michango hiyo.

  Ukweli ni kwamba kwa wasio wanachama wa JF wakiwa wanasoma hapa wanaona matangazo mengi ya Google kuliko wanachama waliojisajili.

  Dhamira yetu si kuweka matangazo haya ya Google kwani hayaingizi kwa kiwango kikubwa hivyo, watu hawabonyezi matangazo hayo na hivyo income yake inategemea pale mtu atakapokosea akabonyeza tangazo ndipo tupate vijisenti kidogo kwa clicks hizo. Gharama za uendeshaji bado zinatoka mfukoni mwa mtu mmoja mpaka sasa na baadhi ya Premium Members ambao wameendelea kuona umuhimu wa kufanya hivyo.

  Mpaka sasa JF ina wanachama waliojisajili karibia 8,000. Endapo waliojili hawa wangechangia walau Tshs 10,000/= kwa mwaka basi inamaanisha JF ingetengeneza Tshs 80,000,000/= kwa mwaka na hivyo tusingeweka matangazo KABISA na tungejitahidi kupata moderators ambao watakuwa wanalipwa kwa kazi yao na wangeifanya kwa umakini mkubwa zaidi.

  Ukiangalia katika historia ya Forums nyingi, huwa zinashindwa kuhimili traffic inapokuwa kubwa kutokana na servers kuhitaji umakini zaidi na Forum owners hujikuta wanaona ni mzigo usio na faida hivyo forums hizo kufa.

  Tumshukuru Maxence kwa kuendelea kulipia gharama hizi kila mwezi kwa kujitolea mpaka sasa huku akilipia na Chat Server (IRC Server).

  Wapo wanachama kama Ogah, Nyambala, SteveD, FairPlayer, Mchukia Fisadi na Phillemon Mikael ambao huchangia walau kila wanapopata wasaa... Hawa nao wamesaidia kwa kiwango kikubwa katika jitihada za kuhakikisha JF inakuwa hewani. Bila kuwasahau wadau waliochangia walau $200 hivi initially kama Mtanzania, Field Marshal ES na Halisi.

  Ninachoamini binafsi ni kitu kimoja, Tshs 5,000/= kwa mwaka inawezekana kabisa kwa watanzania tulio na uwezo wa kuingia mtandaoni. Na uzuri, benki zetu Tanzania zinaruhusu mtu ku-deposit Tshs 5,000/= kama kiwango cha chini.

  Endapo kuna mwanachama anaguswa (kutoka moyoni) na angependa kuiwezesha JF kuendelea kusimama imara na kufanya vema zaidi bila mizengwe ya kifedha, basi anaweza kukubali kuchangia Tshs 5,000/= walau kwa mwaka.

  Benki zetu (hapa naongelea NBC na CRDB kwa haraka) hazikulazimishi unayetuma hela kuandika jina lako la kweli bali lile ambalo ungependa mpokeaji alitambue.

  Kwa walio Tanzania wanaweza kuichangia JF kwa kutuma katika akaunti za NBC au CRDB.

  Akaunti ambazo tangu awali tulipendekeza zitumiwe ni za Maxence Melo (as the JF Founder) na tukawaomba wanaotuma waandike Nicks za kuweza kutanabaisha kuwa wao ndio walotuma.

  Michango inaweza kutumwa kwa njia kuu nne:

  Kwa walio nje wanaweza kutumia PayPal au Credit Cards au Debit Cards kwa kufuata link hii ( https://www.jamiiforums.com/payments.php) iliyo kwenye sahihi yangu (linapoonyesha dole gumba) na pindi mchangiaji anapoweka chochote tunakuwa notified nasi tunafanya kuwasiliana na mhusika ili aweze kupandishwa kwenda katika group la Premium Members.

  Njia ya pili ni kutumia Western Union au Money Gram na kutuma kwenda kwa Maxence Melo wa Dar es Salaam.

  Njia ya tatu ni kutumia Bank accounts za Maxence kama ifuatavyo:

  NBC:

  Acc #: 033201064359
  Jina: Maxence Melo Mubyazi

  CRDB:

  Account Name: Maxence Melo Mubyazi
  Bank: CRDB Pugu Road Branch
  Swift Code: CORUTZTZ
  Acc No: 01J2092391800

  Njia ya nne ni kwa kutumia email ya macdemelo@gmail.com
  kwenye hii link: https://www.payoneer.com/webapps/Load/LoadToPage.aspx

  Ikumbukwe, SI LAZIMA kuandika jina lako la kweli na SI LAZIMA kwenda mwenyewe bank kutuma pesa hizo (kwani unaweza kumpa unayemwamini na kumpa account details na jina lako ambalo ungependa aandike).

  Tunaweza kuandika mengi lakini ukweli unabakia pale kuwa JF inahitaji michango yenu kwa sana tu.

  Kwa wenye maswali zaidi wanaweza kuwasiliana na Maxence kupitia namba yake ya simu +255713444649.

  JamiiForums Administration
   
 7. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #7
  Jan 4, 2010
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,321
  Likes Received: 1,037
  Trophy Points: 280
  Karibu sana mkuu
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Jan 4, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  You are warmly welcome!
   
 9. Semenya

  Semenya JF-Expert Member

  #9
  Jan 4, 2010
  Joined: Sep 5, 2009
  Messages: 572
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 35
  karibu sana, mimi ndiye kiranja mkuu hapa.
   
 10. eRRy

  eRRy JF-Expert Member

  #10
  Jan 4, 2010
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kARIBU SANA MI ndo Mchungaji Kiongozi yupo askofu wetu MAX!
  [​IMG]
   
 11. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #11
  Jan 4, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  chalii vipi habari ya siku mob? vile nakushow hapa jf ni mahala vipoa sana! utakutana na wasee humu ambao wako na vitu vile huwezi pata nowhere. unajua vile nakuwaga na time nzuri humu nainjoy na i hope vile vile utaipenda jf hutotoka!
   
 12. Jammu Africa

  Jammu Africa JF-Expert Member

  #12
  Jan 8, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 530
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Hey poa mazee, shukran sana kwa makaribisho yote nimepokea na ukweli
  ni kwamba si kutaranjia vile nimeona hapa.

  Tafadhali msi shangazwe na Kiswahili changu hata ni beta kuliko cha
  wengi wenzangu.

  Yenyewe nita jaribu ku-cope na situation kwani ni hard lakini ni mdogo
  mdogo yaani mos mos.
   
 13. JS

  JS JF-Expert Member

  #13
  Jan 8, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Karibu sana Jammu jamvini.
   
 14. Jammu Africa

  Jammu Africa JF-Expert Member

  #14
  Jan 8, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 530
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35

  Poa sana msee wa mine. Bana, hapa kuna mavitu za
  nguzu na wasee wa nguvu.

  Na watumia wasee wote hapa katika hii forum ya JF
  na watanzania wote salamu za mwaka mpia.

  Muwange na mafanikio kwa kila jambo mnalo lifanya.

  Sijawahi kufika Tanzania lakini nimeishi na wa
  Tanzania kutoka utotono wangu.

  Mimi ni na live town ijulikanae kama Ngong Hills 20 km
  from Nairobi, ambako ni naandika hapa kwa LapTop
  yangu, na hata niko na majirani wawili ambao ni wa
  Tanzania.

  Tutaonananga sana, wasee, chao ..ha ha ha......
   
 15. Jammu Africa

  Jammu Africa JF-Expert Member

  #15
  Jan 8, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 530
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Ahsante.
   
 16. Jammu Africa

  Jammu Africa JF-Expert Member

  #16
  Jan 8, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 530
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Shukran sana msee.
   
 17. Jammu Africa

  Jammu Africa JF-Expert Member

  #17
  Jan 8, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 530
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Hey brother, you're right. Africa will only make it when we are a big
  block.

  That is when someone will take us serious.
   
 18. Jammu Africa

  Jammu Africa JF-Expert Member

  #18
  Jan 8, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 530
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Shukrani sana ndugu.
   
 19. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #19
  Jan 8, 2010
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Jammu Africa, karibu JF.

  You wont regret knowing JF.
   
 20. f

  fabian donatus Member

  #20
  Jan 8, 2010
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asanteni sana Watanzania wenzangu kwa ukaribisho wenu, nami nifurahi kujiunga nanyi . Niaminicho ni kwamba FIKRA zenye malengo mema mwisho wake huwa ni ushindi,na fikra hizi husongwa na mwandamo wa vizuizi lakini si kitu.
   
Loading...