Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,682
- Thread starter
-
- #21
mmm nilikuwa sijaiona ... haaa yaani umeoza kabisa juu yangu.. ngoja nikupm nikuite kwenye interviu kwanza ,kama unatoa mambo flesh nakuchukua naachana na uyu bibi kidudeSa jamani Ivuga mie mbona nimekufa nimeoza juu yakoo!! :typing:
Yeah I prefer to deal with strong women wasiolialia kama vile dunia imewadondokea...good to be in control of those powerful ladies trust me....ila chonde chonde Usije ukampiga picha tuni mwanamke strong sana na mimi hawa ndio ninao wataka...so simple to be with her
mmm nilikuwa sijaiona ... Haaa yaani umeoza kabisa juu yangu.. Ngoja nikupm nikuite kwenye interviu kwanza ,kama unatoa mambo flesh nakuchukua naachana na uyu bibi kidude
utafaidi sana, ila kuwa makini coz mitaa inasema FF ana jinsia mbili.Wajameni mimi huyu mtoto jinsi siku zinavyozidi kwenda ndio nazidi kumuwaza na ku-imagine vitu mbali mbali sijui nitampataje.
Pls!! usije dnt bring polits and hate posts in this thread lets enjoy uumbaji wa Muumba
una uhakika au unanitisha?utafaidi sana, ila kuwa makini coz mitaa inasema FF ana jinsia mbili.
Tahadhari siku mkipanga kuonana live hakikisha unakuwa wakwanza kufika mlipopanga kuonana kisha unajificha iliumuone kwanza.
Nahakika utatoka mbio bila hata kumsabahi maana post zake tu zinaonyesha ni mwanamke fulani hivi mkavu, hana mvuto na kajikatia tamaa na kuolewa na maisha, kitu pekee kinacho.mfariji ni ubishi tu
bibi bomba hiyo ilikua 2011Hapa hakuna zaidi ya nyege za asubuhi asubuhi zinazotokana na ulevi wa viroba.
Nyege za 2011 mpaka leo bado anazo ?Hapa hakuna zaidi ya nyege za asubuhi asubuhi zinazotokana na ulevi wa viroba.
Nyege za 2011 mpaka leo bado anazo ?