I'm I the only one who sees something fishy in this pipeline deal?

We export petroleum to Uganda without adding any value. It seems you don't understand what you are talking about.

Duu bro wewe huelewi.
Are you drilling crude oil, do fractional distillation and export to Uganda?
Ninachojua, Hapo Mombasa is just a high way to Uganda, nothing more.

Tanzania hawawezi kupeleka gesi Mombasa, halafu ndiyo iende kwenye international market.
 
Tutajenga LNG powerplant yaani kiwanda cha kuzalisha umeme kwa kutumia gesi.
naona mnachanganyana wewe umezungumzia LNG powerplant ( ambayo ni basically kiwanda cha kuzalisha umeme kwa kutumia gas)


lakini unaejibizana nae amekuelewa vibaya akidhani unazungumzia processing plant (ambayo ina process raw natural gas for transportation ) kama mtwara nadhani mna misunderstanding tu
 
Raisi Kenyatta amesema ni kwa ajili ya stima ( umeme) sio matumizi mengine . Hii mambo inaenda kwa mkataba ikiwa vinginevyo Bei ya gesi itapanda !
Hata russia ikiuzia germany au Turkey gesi haiendi kwenye lng refinery bali kwenye stima( umeme) na matumizi ya nyumbani na magari tayari wamesha refine huko russia .
Hamna pipeline itakayojengwa mkuu,porojo tu zile,kwanza Mama hajatilia mkazo hata kidogo
 
Back
Top Bottom