the most appreciated!Geoff dear sikueza kuchangia earlier on your issue majukumu yalizidi kidogo. but all in all, usijali those are ups and downs of ndoa popote pale just keep holding on u vowed remember till death do you apart kwa hiyo vumilia tu. ni vijimambo vya muda tu hivyo vinaumaga saa zingine na kuchanganya akili lakini vina mwisho.
Kuhusu huyo jamaa hapo juu, he/she is one of those people who thinks mapenzi siku zote ni "sex" mfikishie ujumbe please mwambie he is a f****n schmuck and dont waste your time na threads zake. watu kama hao wanatumia uhuru vibaya wa JF wa kuongea hovyo hovyo without thinking and those kind of people mode angewapa kinachostahili.
Just take it easy on your issue na mwenza wako. all the best.
Geoff dear sikueza kuchangia earlier on your issue majukumu yalizidi kidogo. but all in all, usijali those are ups and downs of ndoa popote pale just keep holding on u vowed remember till death do you apart kwa hiyo vumilia tu. ni vijimambo vya muda tu hivyo vinaumaga saa zingine na kuchanganya akili lakini vina mwisho.
Kuhusu huyo jamaa hapo juu, he/she is one of those people who thinks mapenzi siku zote ni "sex" mfikishie ujumbe please mwambie he is a f****n schmuck and dont waste your time na threads zake. watu kama hao wanatumia uhuru vibaya wa JF wa kuongea hovyo hovyo without thinking and those kind of people mode angewapa kinachostahili.
Just take it easy on your issue na mwenza wako. all the best.
the most appreciated!
halla dude1tuko pamoja.thank god mambo yenyewe yamekwisha
pamoja sana mkuu!duh, kitu kimekula pepa kadhaa atlast solusheni imepatikana, nadhani binamu Chrispin alikua pamoja sana nawe, binafsi sore I was kinda occupied baizewei hata ningekuwepo ningejikuta nakua mpole sana coz juzkati yalinikuta hayo ningejikuta napata mauchungu ya ajabu!!.
weekend hii njoo nae pale mahali pa-OFF CHATS tule ndovu!!
pamoja sana mkuu!
jipange sasa,mida ya kusepa.vipi upo masaki?
.....YES!i am going through the hell,because she makes some silly mistakes and I FO0RGIVE,FORGET then we start over.but she keep making mistakes kila kukicha.
THE WORST PART OF MY MARRIAGE NI KWAMBA,nilipojaribu kumshirikisha kaka yake ili amshauri kuwa makini nimeibua tatizo jingine kubwa.she can't talk to me for three days now.na ananiita mnafiki,na mbeya.nikimwambia tukae tujadili mahusiano yetu hataki tena.ni visilani kila kukicha.
i am going through the hell!i can't keep quite just like that.i have done so much to fight for what belongs to me!

with all due respect sir, on behalf all female human beings, we feel offendend by your words. Next time find better words from that mouth of yours to utter in the public concering this gender.My take: Kitendo cha kumwambia kaka yake ameona kama uko weak..that is why analeta za kihivyo...so far on your deep heart ulikuwa so innocent kama vile una-solve..problem haya majitu hayahitaji uwe innocent kihivyooo lol
Cha kufanya itabidi umbembeleza urekebishe hiyo hali hata kama ni kwa mtu day or two days out muongee yote na kwa muda..mrefu...kisiachwe kitu..ikiisha heri
Yet..kama bado kununa nuna kama kawaida..dawa ya mwanamke ni mwanamke weka second wife uendelea ku-enjoy nini presha bro..
with all due respect sir, on behalf all female human beings, we feel offendend by your words. Next time find better words from that mouth of yours to utter in the public concering this gender.
FYI Geof isnt a muslim to get a second wife if that head of yours think its the only solution. Good day.
BTW, gOODMORNING PEOPLE.
Mkuu, umenifunua jambo. Kumbe na ZD wangu yuko anauchuna tu! Thanks man! Na kule nimekugongea, angalia tena.
BTW, gOODMORNING PEOPLE.
Very well, thank you.Good morning beautiful lady!I hope your family is doing fine!