I'm back friends

Umeona eeeh majukumu yananibana wangu, watoto watatu sio mchezo wananipigisha mchakamchaka mbayaaaa

Pole na hongera Yummy....nitajivua gamba na mie nionje utamu wa ngoma ya ulezi...
 
Last edited by a moderator:
Karibu tena Jamvini Mkuu, Mimi zawadi ya Mahindi ya kuchoma inantosha
 
Karibu tena Jamvini Mkuu, Mimi zawadi ya Mahindi ya kuchoma inantosha

Kaka nashukuru kukukuta u mzima....ni siku nyingi sana bro...mahindi yapo na makomamanga ya kutosha Kivumah....
 
Last edited by a moderator:
my dear naona ujio wako ni wa kutupia likes tu sweetlady.....
U wapi kipenzi changu......
 
Last edited by a moderator:
my dear naona ujio wako ni wa kutupia likes tu sweetlady.....
U wapi kipenzi changu......
Yaani kwanza nimefurahia ujio wako my dear Vin Diesel,,,,,,nimefurahi mpaka nikaishiwa na cha kusema......ndio mana umeona nagonga like tu.......Karibu sana sana darlin'......ukishakaribia mpaka ndani utanikuta nimenuna mpaka unambie ulikuwa wapi.....
 
Last edited by a moderator:

heheh.....swaiba nimependa hiyo demand yako!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…