I'm back friends

I'm back friends

Yaani kwanza nimefurahia ujio wako my dear Vin Diesel,,,,,,nimefurahi mpaka nikaishiwa na cha kusema......ndio mana umeona nagonga like tu.......Karibu sana sana darlin'......ukishakaribia mpaka ndani utanikuta nimenuna mpaka unambie ulikuwa wapi.....

Nimerudi love na maelezo yangu utayaelewa tu kwani ilikuwa vyema kwa ajili yetu sote sweetlady...nitakupa raha mpaka usahau yote.......
 
Last edited by a moderator:
heheeh tartiib chwitiledi, utamfukuza tena lol
Hehehe acha kunichekesha klorokwini, hivi kweli unataka nimtabasamie wakati aliondoka bila kuniaga?
Kama sio wewe kunifariji kipindi chote cha mpito si ningekunywa sumu?....lol Na akijaribu kuondoka tena akirudi atakuta tushafunga ndoa! Ajaribu aone.
 
Easy dearest one sweetlady....nilipotea kupambana uso kwa uso na watu kama kina klorokwini....
Sasa nimeshaliminate wapinzani wote....hawa kina Erickb52 wala hawanitishi....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom