Kweli inaweza kuwa sehemu ya asset ..You are not a looser,you are a winner,ndo maana umeshinda hata hiyo kesi,you are a winner ndo maana leo unasema 'nina nyumba',you are a winner ndio maana pamoja na kuchelewa kusoma leo unasema una bachelor digree.
Hebu kwanza jifunze kufikiri vizuri,forget your age,mwanaume hazeeki.
Hiyo nyumba kwako ni asset,kama vipi pangisha upate mtaji uanze biashara ndogondogo,habari ya ajira kwa sasa ni ngumu sana. Fanya yote ila nyumba usiuze rafiki.
Asante mkuu,naamini hapa huyu mdau atapata wazo zuri namna ya kujikwamua na hiyo hali anayoiona kuwa ni 'looser'Kweli inaweza kuwa sehemu ya asset ..
Wazo langu .. kama nyumba ipo vizuri na anaweza kupangisha kwa kodi nzuri 'say 300,000/= kwa mwezi' akipata ya miezi 6 anakuwa na 1,800,000/= hiyo anaenda panga chumba cha bei rahisi na kufungua biashara ndogo uswahilini. Vitu vya ndani nina hakika anavyo hivyo itakuwa gharama ya kodi tu kwa chumba kimoja cha kuanzia..
Anaanza biashara ndogo huku akiendelea tafuta ajira na vilevile baada ya miezi 6 mingine anapata 1,800,000/= ambayo atatumia kuendeleza biashara yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kwa mganga kwanza ukatolewe nuksi na kuzindikwa. Defense muhimu sana...habari ndg wa jf..nimatumaini yangu mko salama nami pia niko vzr kiafya japo kimawazo nikizungumkuti...
nihitaji kutoa historia fupi ya maisha yangu inayonifanya nijione tayari mm ni looser..
wazazi wangu waliachana nikiwa na umri wa miaka minne mwaka 1985...tangu kipindi hicho baba hakuwahi kuoa so niliishi nae japo kwa mahangaiko makubwa kwani alikuwa mtu wa urabu..hivyo mara nyingi nilijikuta naishi kwa majirani...masimango ..kudhalauliwa...mashaka vilikuwa sehemu ya maisha yangu...
mwaka 1997 nikahitimu shule ya msingi nikaamua kwenda mjini mwaka 1999 kutafuta...huko nikawa machinga...lakin hamu yangu kubwa ilikuwa nikusoma secondari...basi mungu saidia mwaka 2000 ndg wa baba akakutana na mama yangu huku mjin ikabidi amlete nilipokuwa naishi ukawa mwanzo wa kunfahamu
bahati mbaya mama nae alikuwa ametengana tena na mwanaume aliyekuwa amemuoa baada ya kutengana na baba so akawa anaendesha kesi ya kugawana mali walizochuma ..hakuweza kunipeleka shule japo aliniahidi akipata mgao wake angenipeleka shule....
mwaka 2005 akibidi ajitahidi niende shule japo kesi yake ilikuwa haijaisha ....so akawa barmaid ..iliniuma sana japo sikua na jinsi
mwaka 2015 nikahitimu shada ya elimu uwalimu wa arts ...bahati mbaya sana mama akafaliki nikiwa mwaka watatu semister ya mwisho...
ile kesi alikuwa anashinda lakni nguvu ya pesa ilitawala hivyo yule jamaa alikuwa anakata rufaa kila aliposhindwa..hadi mama anafaliki kesi ilikuwa mahakama kuu....
ilibidi nitafute ushauri wa kisheria hatimae nikasimama mahakamani kudai haki ya mama ..nashukuru mungu na huu utawala wakawa wamenikabidhi hiyo nyumba
ila tatzo nililo nalo ni hofu ya maisha kwani sijapata kazi..pili umri umesonga 36yrs sina mke wala mtoto..sina kaka wala dada...yaniii nahisi tayari i'm looser....
nafikilia niiuze hii nyumba ili nijipange na maisha ya kifamilia...je una ushauri wowote kwa hili? aksanteni kwa kusoma japo ndefu
Sent using Jamii Forums mobile app
ina vyumba vinne na sebule...ila hali yake sio nzr sana hivyo inahitaji ukalabati....siishi ktk nyumba hyo bali kuna mpangaji anaihi humo japo kwa bei ndogo sana...1.tuambie nyumba yako ina vyumba ngapi?
2. Wewe sasa hivi unaishi kwenye nyumba?
Kama haujaanza kuishi kwenye nyumba let say una chumba pembeni yote ipangishe mwaka mmoja pesa utakayoitoa weka kiduka afu uoe
3. Kama tiyari unaishi kwenye hiyo nyumba ishi kwenye chumba kimoja tuu vilivyobaki vyote pangisha mwaka mmoja pesa hiyo anzisha kibiashara chochote then oa.
Pole kila la kheri navuta hisia uso wako ulivyo wa huzuni
N.b oa mwanamke atakaebkuwa kama mama yako, atakae kufanya kusahau machungu ya maisha uloishi
Plz huo umri jishughurishe mkeo asije kukukuta na hali duni tena ikawa shida plz tafuta atleast usikose kuhudumia mkeo mtarajiwa.
asee sijawahi kufilia jambo kama hilo...anyway ni ushauri piaNenda kwa mganga kwanza ukatolewe nuksi na kuzindikwa. Defense muhimu sana...